Naomba kuuliza hili swali? Ni nini chanzo cha U-Terrorist?
Kwa nini mambo hayo yanatokea?
Kwa nini watu wa West na wanaosapoti mambo ya West ndio Target?
Kwa nini inahusishwa na Uislam na...
Jamani Wazalendo wenzangu naomba tupige kura hapa ili tuutangaze mlima kilimanjaro kuwa upo Tanzania. Nafasi ndo hii. Ingia hapa New7Wonders: The official global voting platform of New7Wonders na...
...true or just conspiracy? naona ipo all over google
Schiller Institute- Kissinger's 1974 Genocide Plan- NSSM 200-Exposed Join Food For Peace Movement
Wabunge Mtwara wakacha kikao cha maendeleo
na Hassan Issa, Mtwara
Tanzania Daima~Sauti ya Watu
WADAU wa maendeleo mkoani hapa juzi waligeuka mbogo dhidi ya wabunge wao, baada ya kupewa...
Iranian envoy appeals to Kikwete over Gaza...
2009-01-07 12:05:08
By Guardian Reporter
Iranian ambassador to Tanzania Abbas Vaezi has challenged President Jakaya Kikwete, who currently...
Maegesho ya magari jijini Dar es Salaam siyo mengi sana. Na kwa jiji lilivyo hata kujua wapi haparuhusiwi au panaruhusiwa kuegesha gari siyo rahisi. Cha kushangaza utakuta mgambo wa jiji...
Mafisadi wanatumia fedha za wizi kujisafisha- Mengi
2009-01-07 12:51:00
Na John Ngunge
Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Mengi, ameonya kuhusu tabia ya baadhi ya...
Wakuu samahanini sijatokea kwa siku kadhaa lakini naomba nitokee kwa haka ka-swali kangu, nimekauliza kwa kuwa kuna watu wengi humu naona sasa wanamtetea JK kwamba ni safi sana sasa.
Mimi naona...
Mwaka juzi (2007) nilikuwa nyumbani nikiwa namwuguza ndugu yangu wa karibu sana. Ikafika wakati wa sikukuu ya Krismas, na nikaamua nimnunulie mgonjwa huyo zawadi ya viatu, lakini nilitaka...
Picha zifuatazo zinaonyesha kuwa waafrika tuna creativity ya hali ya juu sana; hebu fuatilia halafu utoe maoni yako
(Hii ni system ya kupata maji ya moto bombani)...
Kama kuna maeneo mawili muhimu ambayo yanaweza kubadilisha mji wa Dar Es Salaam kwa kuleta ladha mpya ya jiji la kisasa basi ni maeneo yaliyopo base za majeshi yetu. Ninazungumzia maeneo ya...
EPA yaikoroga CCM
na Esther Mbussi (Tanzania Daima)
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeandaa jarida mahususi linaloelezea historia ya wizi wa fedha katika Akaunti ya Malipo ya...
Two children tried to leave the cooler climes of Germany to elope to sunny Africa, but only got as far as the local train station. Skip related content
Related photos / videos Children 'elope' to...
2009-01-06 04:01:00
Cut prices or quit, Ngeleja tells oil firms
By Vicent Mnyanyika and Beatus Kagashe
THE CITIZEN
The Government said yesterday oil companies that would sell fuel...
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi, Jaji Mstaafu Lewis Makame ametofautiana na Msimamizi wa Uchaguzi, Malange kuhusu CHADEMA na Operesheni Sangara Mbeya.
Wakati Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi...
Watanzania wana uwezo mkubwa wa kubuni misemo na kudumisha uhai na utamu wa lugha ya kiSwahili. "Kuku kwa mrija" ni usemi moja ambao umepata hadhi ya pekee katika kiSwahili cha mazungumzo...
EDITORIAL: Yes, heavy penalties can help to curb road carnage
EDITOR
THIS DAY
DAR ES SALAAM
THE Dar es Salaam- Arusha highway has continued to be a killing field, after 11 people were...
Joyce Emmanuel [25] mkazi wa Tabata Kimanga amefariki dunia baada ya kunywa sumu ya panya kutokana na ujumbe wa simu aliotumiwa na mumewe.
Mume wake alitumiwa ujembe huo na mtu asiyemjua na yeye...
Tumeona jinsi wana JF walivyo na upeo wa juu wa kuweza kuchambua mambo mabilimabli na hata viongozi.
Sasa kuna changamoto napenda kutoa kwa JF, na ningependa kwa hili tusikurupuke tu bali...
Rapid growth spurt leaves amount of ice at levels seen 29 years ago.
Thanks to a rapid rebound in recent months, global sea ice levels now equal those seen 29 years ago, when the year 1979 also...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.