Kwa wasiomfahamu Chimamanda ni mwandishi mashuhuri wa kiafrica. Kwenye hii link anaongelea mitazamo tofauti inavyoweza kujenga au kuharibu ukweli.
Baadhi ya vitabu vyake ni 'Purple Hibiscus' na 'Half of a Yellow Sun'
kama unapenda kujua kwa undani kidogo maafa ya Biafra soma 'Half of a Yellow Sun'
http://www.ted.com/talks/lang/eng/chimamanda_adichie_the_danger_of_a_single_story.html