Nini tofauti ya tetesi na umbea? Maana nimekaa hapa na wananchi wachache madai yao, "watanzania ni wambea sana". Sikubaliani na hoja hiyo kimsingi! ila naweza nikaona ni mfumo mmoja wapo wa kupata...
Meya wa Moshi afunguliwa mashtaka kortini kwa kumzaba kibao mlinziNa Daniel Mjema, Moshi
HATIMAYE Serikali imemfungulia mashitaka, Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi, Lameck Kaaya kwa...
Nakumbuka nilipokuwa shule ya msingi nilisoma ngojera ya maneno haya! tumenyanyaswa vya kutosha, tumepuuzwa vya kutosha - sehemu ya maandiko ya mwalimu nyerere.
Mwenye kumbukumbu juu ya...
Kama waziri aliekunywa maji ya bendera ya chama nahisi huyu alikunywa zaidi
mhe waziri wa uvuvi BW magufuli amekamata watu;polisi;wakuu wa kata;serikali za mitaa pamoja na neti zile zilizotolewa...
Mchungaji akamatwa kwa kuzidisha muda wa mahubiriMwandishi Wetu, Singida
JESHI la polisi mkoani hapa, linamshikilia mchungaji Nelson Andreson Mazengo maarufu kwa jina la Muyahudi (36) mkazi wa...
Kuoga aoge Rostam, Mengi, halafu watakate waandishi!
Imeandikwa na Neophitius Kyaruzi; Tarehe: 5th May 2009
Hakuna ubishi kwamba hivi sasa nchini, habari zinazotamba katika vyombo vya...
wadau wote,
Nimepokea taarifa kuwa kutakuwa na zoezi la uteguaji wa mabomu yaliyosalia pale mbagala kwenye kambi ya jeshi.
wanachi wote wa jiji wameagizwa wawe watulivu,wasiogope mitikisiko...
Kwa wale ambao wanahitaji program mbali mbali badala ya zile za Microsoft, mnaweza kutumia Open Office, ambayo unaweza ku download bure na hata kuweza kuiendeleza. Kuna program za Text...
Hakika vita ya ufisadi inayochukua mkondo tofauti kwa sasa inadhihirisha kushindwa kutawala kwa JK na chama chake.
Dhambi ya ubaguzi aliyoianzisha JK na washirika wake Rostam na Lowassa hakika...
Waathirika wa mabomu wamepangwa familia TANO kwenye hema moja!
Halafu eti wanasema wanategemea UNICEF watawapatia mahema kumi zaidi. Jamani, yaani jeshi letu limekosa mahema ya kutosha...
Its sadnews wakati biblia ikiendeleza ndoa iheshimike na watu wote huku kuna watu wakitarijika kupitia ndoa za watu...jamani kwa wale wanaomjua yule dada anaetengeneza nguo nzuri za harusi pale...
Bidha feki zinauzwa kila duka Tanzania. Ni imani hakuna Mtanzania ambaye hajalizwa. Mimi leo hii nimeenda dukani kununua betri za kamera. Najua zile za kintazania yaani national hazina nguvu ya...
Justin Timberlake to climb Mount Kilimanjaro
Justin Timberlake
Lupe Fiasco and Kenna also taking on African climb
Apr 16, 2009
2 Comments
Justin Timberlake news, reviews, video and tour dates...
Nkwazi Nkuzi
Tanzania Daima
VYOMBO ya habari viliripoti na kumkariri Rais Jakaya Kikwete akifanya kile vyombo vya habari vilikiita msimamo juu ya tuhuma za ufisadi zinazoikabili serikali, chama...
Imeandikwa na Maulid Ahmed; Tarehe: 1st May 2009
Viongozi wa Umoja wa Vijana wa CCM wa Mkoa wa Tabora, wamemtaka Mwenyekiti wa IPP, Reginald Mengi, kuacha kutukana viongozi wa chama hicho na...
Waathirika wa mabomu wakabidhiwa Sh 1.5 milioniNa Geofrey Nyangoro
WAKATI Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania (Talugwu) kikitoa msaada wa Sh3milioni kwa ajili ya kusadia...
Hakuna ubishi kuwa Tanzania inayumba kwa kukosa uongozi makini. Nyufa zimetapakaa kila pembe ya nchi na ufisadi unazidi kuzifumua. Mchango wa wanaharakati unahitajika sasa kuliko wakati wowote ule...
Nyerere ameacha familia yake maskini hakuwa mjinga me ndhani bora nchi iongozwe na dictator, JAMANI tufanye nini ile yale yanayosemwa serikali haion,je watendaji wanogopa kukosa ajira, kukosa...