Nini tofauti ya tetesi na umbea? Maana nimekaa hapa na wananchi wachache madai yao, "watanzania ni wambea sana". Sikubaliani na hoja hiyo kimsingi! ila naweza nikaona ni mfumo mmoja wapo wa kupata habari, faida na hasara za mfumo huo na kwanini unaendelea kuwepo na kushamiri ni swala lingine! Lakini mpaka sasa, maongezi yanavyozidi kwenda nimeishiwa hoja nikasema niwaulize ninyi ndugu zangu!
Kwanza nashidwa kukubali kwamba watanzanai wanapenda umbea/tetesi/uongo. Lakini mnapokuwa zaidi ya watu watano na wote wakaridhia kwamba ndio kwenye jamii yetu kunauongo mwingi, na mimi peke yangu napinga kwamba watanzania sio wambea kihivyo, inabidi niangalia uhalisia wa uelewa wangu.
Pili, inawezekana vitu tunavyoita ni umbea, vimekosa uhalisia kwa sababu wahusika wanakana ukweli wake! Hoja yangu hii imetiwa kitanzini, na kujikuta ni kijibiwa na hoja ya wantanzania waongowaongo!
Je ni kweli watanzania wanapenda umbea/tetesi? Ama kushuhudia vitu ambavyo hawana hakika navyo?
Je katika siasa ama maisha ya kawaida kilichotawala ni nini? Tetesi, umbea ama facts?
Na madai mengine yanayowekwa juu ya meza ni kwamba "watanzania ni waongowaongo". Sielewei kabisa kwanini tujibandike nembo ya uongouongo! Hii ndio siipendi kabisa, hoja yangu ni kwamba labda watanzania hatuaminiani! Kwanini hatuaminiani! Tumefikaje hapo!
Mwisho, umbea na uongo, si kwamba upo katika tanzania tu, watu wote dunia kwa namna moja ama nyingine kunamambo ya kudanganya ama fununu. Labda swala la kujiuliza kunatofauti gani katika jamii moja hadi nyingine kuhusia na viwango na madhara ya maswala hayo!

Last edited: