1st September 2009
PRESS RELEASE
Frontline Management launches Tanzania Women of Achievement Awards
Frontline Management, a local PR company introduces the Tanzania Women...
Kundi la wezi wenye silaha mbali mbali usiku wa kuamkia leo wamevamia Ofisi za Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania -Usharika wa Kimara -Korogwe na kuiba mali nyingi na fedha taslim kwa...
Alcohol has a peculiar relationship to happiness. We drink to celebrate, but because alcohol works as a depressant, it ends up deadening feelings. Not surprisingly, there's an observable...
CCM, TANZANIA NA CHANGAMOTO ZA UCHAGUZI MKUU 2010
Chama cha Mapinduzi hivi karibuni kimeunda kamati inayoongozwa na rais Mstaafu alhaji Mwinyi ili kuchuguza chanzo na baadaye kupendekeza njia...
Jamaa mmoja alimiliki miche ya sabuni za kufulia mingi sana. Akafikiria afanye nini kutumia miche hiyo akagundua kiasi cha sabuni aliyonayo ingetosha uwekezaji wa sehemu ya kutoa huduma ya ufuaji...
Jana vituo vya habari vikiwemo radio na televison wametangaza wananchi wa vijiji vya DODOMA wanakula UBUYU na wa Tanga hamna hata ubuyu wanakufa, na watoto wameeacha shule na ndoa zimevunjika...
KAMPALA-Patrons at a hotel in Bakuli, Kampala were last Monday amused when a sex worker turned out to be the clients girlfriend.
Kakooza, a student at Mbarara University, was in Kampala for a...
habari za asubuhi ndugu zanguni?
jana nilihudhuria ibada kwenye kanisa moja la kiroho lenye jina la kiingereza (kizungu)
ukafika muda ule wa kupokea miujiza yetu, mara wenye mapepo wakaanza...
Wakuu, hadi sasa hivi, Saa tano na nusu usiku saa za Africa Mashariki, Moro Road hakuna movement yeyote ile. Hasa kati ya Ubungo na Mbezi. Tatizo TANROAD WANAJENGA MATUTA maeneo ya Stop over na...
Tarehe 25/09/2009 nilikwenda Giraffee Hotel kwenye Miss Tanzania Talent show. Kulikuwa na washiriki 8 tu wa mashindano ya talent show kati ya 29:
1- alicheza kihindi
3- wakacheza ngwasuma
2-...
Kumekuwa na malalamiko ya kawaida ;ila napenda kuwauliza ni vigezo gani vinavyotumika kuteua majaji..tunaitaji majaji wenye moyo safi na siyo majaji ambao wanachagua tu kisa alitembea na mtu...
Mwenye uhakika atujuze,kwamba bank ya makabwela kupitia wafanyakazi wake wasio waaminifu wamekuwa wakipokea pesa bandia kutoka kwa watu wanaozitengeneza/sambaza na kuziingiza kwenye mzunguko wa...
Hey all,
For those who are interested in applying for the 2011 Diversity Visa Program (DV-2011) they can do so at http://www.dvlottery.state.gov/
The entry submission period for DV-2011 started...
Norway 'number one place to live'
Last Updated: Monday, 05 October 2009, 16:22 GMT
- Search: UN quality report
UN report says Norway has best quality of life on planet and Niger the worst...
4th October 2009
Mpaka wa Tanzania na Malawi wa Kasumulu uliopo wilayani Kyela mkoani Mbeya umezidi kuwa katika hali mbaya kiusalama kutokana na kukabiliwa na msongamano wa magari...
Waungwa nimesikia kuwa JWTZ imekuwa likipokea hati safi za Ukaguzi wa mahesabu toka kwa ofisi ya mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali kwa siku nyingi pamoja na mambo na kashfa kibao.
MTOTO wa umri wa miaka 14 Samir Faraj Kheir anashilikiwa na Jeshi la Polisi kutokana na kumuuwa mwenzake Khalfan Zaidi Abadi (14) kwa kumlenga jiwe la kichogo na kumsababishia kifo hapo hapo...
Kampuni ya Simu za Mikononi VodaCom sasa hivi wanaendesha kampeni kabambe ya Tuzo Points. Kampeni hii inauhusisha mteja ku-redeem points zako na kuweza kupata zawadi mbali mabali kuanzia na SMS za...
Walokole wamehoji kama kuvaa suti na kuendesha mashangingi kwa Watz haulingani na umasikini wetu ni bora Waziri Mkuu aonyeshe mfano kwa kutumia bajaji badala ya mchuma wa bei mbaya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.