Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mkurugenzi mtendaji (DED) wa wilaya Bunda mkoani Mara Bw. Cyprian Oyeir ameelekeza kuwa pesa zilizotengwa kwa ujenzi wa nyumba yake ya kuishi Sh. 90ml zipelekwe katika kuboresha sekta ya elimu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau nisaidieni, nahitaji shamba kwa ajili ya kilimo, Niliwahi kusikia kuna mashamba Morogoro Bwawani, Mimi nipo Dar, kwa yeyote anayepafahamu hapo anielekeze namna ya kufika, By the way mimi...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Jana nilipanda basi kwa mara ya kwanza baada ya muda mrefu sana. Safari yangu ilianzia Tegeta na kuishia Posta Mpya. Kilichonigusa katika safari hiyo, sio msongamano wa abiria, ukosefu wa utumiaji...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
TRAFFIC WASEMA TUMEMCHOKA KABISA MAKAMANDA wa polisi wa kanda ya Dar es salaam na taifa leo wanatarajia kumuweka kiti moto mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani mkoani Temeke, Edward Balele...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kuna fuso usiku wa jana ilishindwa kuzunguka around about ya mabanda ya papa Tanga na kuua vijana zaidi ya 15 walikuwa wametokea kwenye Maulidi. Source; Magic FM, Radio One
0 Reactions
4 Replies
2K Views
:A S clock: A prolific African-American bank robber has been unmasked as a white man wearing an elaborate disguise to make him look black, it has been reported. Police had put out an appeal...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kiswahili ni kigumu,Ebu wana JF nifafanulie hivi mtu anayepaswa hasa kuitwa BABA Mkubwa ni kaka yake(kiumri) baba yako au baba mkubwa ni babu yako na je si kweli kwamba mtu ambaye ni mdogo au...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Mchekeshaji wa zecomedy emanuel a.k.a masanja ameamua kumpokea bwana yesu kama bwana na mwokozi wa maisha yake katika kanisa la EAGT pale mnazi mmoja siku ya ijumaa.... emanuel ambae alikiri...
0 Reactions
27 Replies
7K Views
Nimekuwa nikifatilia shindano linaloendeshwa na kituo cha Televisheni cha TBC 1 kwa jina la Serebuka. Vijana wa kike na kiume hushindanishwa kucheza aina ya muziki kutoka Latin Amerika na...
0 Reactions
33 Replies
6K Views
wakuu naombeni mchango wa mawazo nilipoteza line yangu ya voda na aliyeokota akawa anatumia kwa vile ninaline mbili watu wakawa wananipigia line ya tgo kwamba mbona upokei cm ndipo nilipogundua na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
kwa wale tuliangalia gwaride jana siku ya kuazimisha miaka 46 ya muungano binafsi nilitamani ardhi ipasuke inimeze kwa matukio yalivyokua yakiendelea pale uwanja wa uhuru. hasahasa ni pale watu...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimesoma kwenye gazeti la kanda ya ziwa ingawa halimo kwenye mtandao Na Mathias Byabato. Ikiwa ni siku chache tangu Rais Jakaya Kikwete kusaini sheria inayolenga kudhibiti fedha chafu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
sijui nania alimpa nauli mrisho mpoto maana jana alikutana na anko wake akamwambia yaliyo moyoni mwake, alimchana ki mtindo anko.....
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu waidara humu ndani nimejaribu kuklik kwenye Music siyapati mambo yetu yaleee ya enzi hizo,wakati huo nyakati zile!! nakutana na bongo flava tuu kulikoni tena ama ndo yakale hayakutani na ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hivi karibuni kumekua na ongezeko kubwa sana la vibaka! Tukianzia wanaokwapua laptops maeneo ambao tulishaonywa hapa Jf mpaka wale wanakwapua Simu Maeneo ya Tandale kwa mtogole. Hivi hamna tiba ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nilianzisha jana thread titled "mke wa mtume" kwenye jukwaa maalumu la dini! hii thread kwa sababu nisizozijua ilifutwa, kwanza nilidanganywa kwani "mark" ilikuwa inaonyeshwa -moved, ukweli ni...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Mpendwa mmoja ameonyeshwa jioni ya leo kuna mtu analipwa mshaara wa sh mil 1.5 shetan anataka kumwondoa kazini kwake..... soln kuna secretary wa bosi umezoeana nae kuwa na makini achana nae kabsa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kama unamwamini Mungu usiku waleo amka ombea sana wajawazito walioko mahospitalini wakisubiri kujifungua'shetan ameanzisha vita na wajawazito akitaka kuondoka na watoto na mama zao hasa katika...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
tanzania na ma profesa, ma Dr. na wasomi wake wote ni jahazi lipotealo, hasa kutokana na ukweli kuwa hawajiamini na taaluma walizonazo....ni mtazamo tu wala si ugonvi
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu wananchi, inashangaza kuona eti wilaya, vijiji na hata mkoa kwa ujumla ambapo migodi ya dhahabu ipo bado hakuna shule nzuri, hakuna maji, hakuna umeme, hakuna hospitali, hakuna barabara za...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom