Shamba kwa ajili ya kilimo

Shamba kwa ajili ya kilimo

Lady

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2010
Posts
282
Reaction score
65
Wadau nisaidieni,
nahitaji shamba kwa ajili ya kilimo,
Niliwahi kusikia kuna mashamba Morogoro Bwawani,
Mimi nipo Dar,
kwa yeyote anayepafahamu hapo anielekeze namna ya kufika,
By the way mimi nafahamu mpaka Morogoro Stand tu.
Natanguliza Shukrani!
 
Bwawani ni kabla hujafika moro mjini, na pia utamwambia konda akushushe hapo au kama una usafiri wako ukifika maeneo hayo utaona vibao vyenye maneno ya bwawani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom