Ombea wajawazito usku wa leo!!!!!amka usilale | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ombea wajawazito usku wa leo!!!!!amka usilale

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Apr 26, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Apr 26, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  Kama unamwamini Mungu usiku waleo
  amka ombea sana wajawazito walioko mahospitalini wakisubiri kujifungua'shetan
  ameanzisha vita na wajawazito akitaka kuondoka na watoto na mama zao hasa katika
  wakati wa ujauzito..ombea sana pepo wa operation mahospitalini asilimia 50 ya wanwake wanaoletwa wodini wanaishia kufanyiwa operation si mapenzi ya mungu kabisa
  Naamaanisha ombea wajawazito na watoto waliozaliwa ...shetan ameanzisha vita ambayo atasarenda mwenyewe ukiwa kama ulieitwa na bwana usiache pia
  KUOMBEA WODI ZA WAZAZI MAHOSPITALIN KUNA MAMBO MENGI YANAFANYIKA MUNGU AKAWAHIFADHI WALE WATOTO WANAOTUNZWA NA MA NURSE WASIOFIKISHA SIKU ZAO...MUNGU AKAWAPE IMANI YA UPENDO WALE MA NURSE WANAOPIGWA MBU NA KUISHIA NA ALLOWANCE SI ZAIDI YA 100,000 KWA MWEZI..,,.WAOMBEE SERIKALI WAWAKUMBUKE KATIKA KILA ONGEZEKO LA MISHAHARA WATU HAWA WANAFANYA KAZI MAZINGIRA MAGUMU SANA IMAGINE CHUMBA CHA WATOTO WASIOFIKISHA SIKU NURSE 3 KINA WA WATOTO 100 NI NEEMA YA MUNGU WAKO KUKUMBUKWA NA HAWA NDUGU..HAWA HAWA WANAITAKILA MTOTO KUMWANGILIA KAJISAIDIA WAMSAFISHE..MUNGU AWAPE ROHO YA UPENDO NA KAMA UNABARIKIWA PELEKA BARAKA ZAKO KWA HAWA WATU,..MUNGU AWAONGEZE MADAKTARI WA WATOTO NI WACHACHE SANA NA INAFIKA DK MMOJA ANAHUDUMIA WAWATOTO 90/100 WD MOJA HII NI UASI MUNGU AWABARIKI NINYI MA DK WACHACHE MUNGU AWAPE ONGEZEKO LA MSHAHARA KWA JINSI MNAVYOPIGANA KUOKOA ROHO ZA WATU NA KUTULETEA WATOTO DUNIANI

  MUNGU ANASEMA USIKU WALE KAMA UNA NDUGU AMA RAFIKI ALIE HOSPITALA AKISUBIRI KUJIFUNGUA ATUBU KAMA ALIWAHI KUSEMA MUNGU NAKUACHIA LOLOTE UFANYE AMA KWA KUJUA AMA KUONA ALIVYOKUWA AKISUMBULIWA NA PREHA AMA AKIONA WENZAKE WAKIONGOZANA KUPIGWA KISU ....USIKU WA LEO EWE MJAMZITO TUBU KATAA....UWE NA IMANI..IMAN NI KUWA NA UHAKIKA NA MAMBO YATARAJWAYO...USIKUBALI UKIKIRI SHETAN ANAAKAMATA KADI YAKO NDIPO MA PRESHA YANAPAMBA NA KUPAMBAZUKA KUMBE ULIMI WAKO......

  MBARIKIWE

  MUNGU AWA
   
 2. Fab

  Fab JF-Expert Member

  #2
  Apr 26, 2010
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 763
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  keep it up PDIDY
  saa nyengine unatuletea vitu vya maaana ila saa nyengine mmmh?!? au ndio sometimes yes...sometimes no..hehe he!
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Apr 26, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  pepo ananijaribu
  lakini wnaaishia kushindwa kwa jina la yesu....
   
Loading...