Tofauti kati ya Baba Mdogo,baba mkubwa,baba na Babu

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,769
1,382
Kiswahili ni kigumu,Ebu wana JF nifafanulie hivi mtu anayepaswa hasa kuitwa BABA Mkubwa ni kaka yake(kiumri) baba yako au baba mkubwa ni babu yako na je si kweli kwamba mtu ambaye ni mdogo au mkubwa wa Baba yako ndiye baba mdogo wako.
 
Hapo kwenye colors ndo kwenye matatizo!
Babu hahusiki in any way hapa!
REFERENCE ni baba yako..Wakubwa zake ni baba wakubwa, na wadogo zake ni baba wadogo zako..basi.
 
Haina sababu ya kuongeza. Jimmy ameshamaliza kila kitu. Nikiongeza chochote nitaharibu mbaya.
Mzee stick to JP he is 100% right.
 
Back
Top Bottom