Je hii inakuhusu???kama sio muarifu mwenzio anaehusika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je hii inakuhusu???kama sio muarifu mwenzio anaehusika

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Apr 26, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Apr 26, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,441
  Likes Received: 5,692
  Trophy Points: 280
  Mpendwa mmoja ameonyeshwa jioni ya leo kuna mtu analipwa mshaara wa sh mil 1.5
  shetan anataka kumwondoa kazini kwake.....
  soln
  kuna secretary wa bosi umezoeana nae kuwa na makini achana nae kabsa huyo
  ndio anaenda kushuhudia ama kuchagia kukutoa kazini.....bosi amekusubiri muda mwingi
  ameamua kukuondoa kabisa....kimbia lango la secretary Mungu anakupenda anaitaji
  uendelee kula mema ya nchi .....Tubu dhambi zako usiku waleo...amka na YESU akufungue
  akuepushe na hili Lango;Kazi hii ndani ya siku saba wiki hii omba sana rehema za Mungu atakurehemu

  Usiku mwema kama ni wewe uwe na amani fata principle apo juu Mungu anakwenda kupigana na Bosi wako kuhusu kukuondoa

  Ulakucha
   
 2. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #2
  Apr 26, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,811
  Likes Received: 1,146
  Trophy Points: 280
  siku hizi mapadiri mmekua wawili?hii kazi ya PJ hii,imekuaje muungwana?
   
Loading...