Fuso yaua Tanga zaidi ya 15

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,947
4,445
Kuna fuso usiku wa jana ilishindwa kuzunguka around about ya mabanda ya papa Tanga na kuua vijana zaidi ya 15 walikuwa wametokea kwenye Maulidi.
Source; Magic FM, Radio One
 
Inasemekana lori hilo Fuso lilipakia wanafunzi hao zaidi ya 80,
Swali la kujiuliza ilikuwaje trafic waliruhusu mchana kweupe kwenda kwenye Maulidi?
Kamanda wa Tanga inabidi awajibike.
 
Too Bad...Madereva vicheche hawa...Hapo inaonyesha alikuwa katika spidi kali sana,bila kujali yuko round-about!
Poleni wafiwa, na waathirika Mola azilaze roho zenu pema peponi!
 
Back
Top Bottom