Siyapati mambo yetu yaleee,......!!

Siyapati mambo yetu yaleee,......!!

Kisoda2

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2008
Posts
2,475
Reaction score
747
Wakuu waidara humu ndani nimejaribu kuklik kwenye Music siyapati mambo yetu yaleee ya enzi hizo,wakati huo nyakati zile!! nakutana na bongo flava tuu kulikoni tena ama ndo yakale hayakutani na ya sasa?
 
nikajua ni mie peke yangu..ngoja tuendelee kusubiri taratibu mambo yatakuwa supa
 
Kweli MODS inakuwaje mmetoa hii kitu muhimu namna ile? rudisheni bana
 
mimi niliijua jf kwasababu ya kusikiliza gospels online!
 
Bila kusaha mambo ya pwani "Twaarabu aka rusha roho" wengine siyo kizazi cha ubongo wa flava,
hivyo kuikosa ile maneno inakuwa mbalaaa tupu.
 
Back
Top Bottom