aibu ya gwaride kuadhimisha muungano uwanja wa uhuru

bona

JF-Expert Member
Nov 6, 2009
3,798
1,435
kwa wale tuliangalia gwaride jana siku ya kuazimisha miaka 46 ya muungano binafsi nilitamani ardhi ipasuke inimeze kwa matukio yalivyokua yakiendelea pale uwanja wa uhuru.

hasahasa ni pale watu kadhaa wa majeshi walipokua wakipita mbele ya rais na mabalozi wa nchi mbalimbali huku wakidondokwa na vitu kadhaa kama kofia, mikanda na cha kutia aibu kabisa ni pale soli za viatu zilivokua zikibanduka ovyo huku zikionekana kabisa ni zile za viatu vya wachaga, sasa cjui ni dili za wakubwa kuwapelekea wanajeshi viatu feki au nini?

ebu fikiria pale bunduki ilipopasuka, ni sio kwenye live combat labda ile ''recoil velocity'' ndio imeiharibu ila ni kwa kushikwa na kupinduliwa kikakamavu ndio ikapasuka! aibuuu tupu!

mbona nchi za watu kuna show kali inayoonyeshwa ikimbatana na mandege ya kivita kufanya show, sisi gwaride ni ivi tu!
 
Mkuu bongo tambarare,
Watu wamesha kula chao mapemaa aibu mtaiona nyie wazalendo wao ni potelea pote.
 
jamani si ndo Gwaride lenyewe wewe ulitaka wainame waokote ndo waendelee hizo ni ajari kazini
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, gwaride lilikuwa zuri sana, wajeshi wetu wakakamavu kiukweli kweli, ukiondoa dosari hizo ndogondogo, gwaride lilikuwa bomba.

Magwaride yote kofia na mikanda hidondoka, ila hii ya soli na bunduki kuvunjika ndio mpya, sio aibu bali ni kituko tuu na badoi gwaride lilikuwa zuri!.
 
FL inakuwaje hata vitu vinawanguka anguka! .........viatu vitatokaje soli?
 
Mie sijaona tatizo Gaijin.......sie wenyewe tukienda music sometimez unacheza mpaka sorry inabanduka ..inaonyesha walikuwa serious sema kiatu hakikuweza kuhimiri kishindo sio uzembe kazini
 
Nilipokuwa JKT tulifundishwa kwamba wakati wa gwaride bunduki ikikatika au kuvunjika inaonyesha kwamba zoezi limefanikiwa sana. Nadhali show ya gwaride ilikuwa NZURI ukiacha matukio ya hapa na pale
 
Lakini hata Ulaya yanatokea hayo nafikiri hakuna tatizo. Nakumbuka kuna post iliwekwa hapa ikimuonyesha askari wa kizungu anaweka shada la maua na suruali ikiwa imepasuka kutokana na zoezi hilo mpaka nguo ya ndani kuonekana so ni kawaida sana especially kwa shughuli za kijeshi. Mi nafikiri tuwapongeze gwaride lilikuwa zuri. Labda waongeze maonyesho yao isiwe gwaride tu wawe wanafanya na maonyesho mengine ya kijeshi mfano urushaji wa ndege za kivita nk.
 
Hakuna jipya kwenye hayo magwaride jamani...MNAPOTEZA MUDA TU...Ni watu wanajihalalishia uwepo wao kazini, na ulaji..basi!
 
kwa wale tuliangalia gwaride jana siku ya kuazimisha miaka 46 ya muungano binafsi nilitamani ardhi ipasuke inimeze kwa matukio yalivyokua yakiendelea pale uwanja wa uhuru.

hasahasa ni pale watu kadhaa wa majeshi walipokua wakipita mbele ya rais na mabalozi wa nchi mbalimbali huku wakidondokwa na vitu kadhaa kama kofia, mikanda na cha kutia aibu kabisa ni pale soli za viatu zilivokua zikibanduka ovyo huku zikionekana kabisa ni zile za viatu vya wachaga, sasa cjui ni dili za wakubwa kuwapelekea wanajeshi viatu feki au nini?

ebu fikiria pale bunduki ilipopasuka, ni sio kwenye live combat labda ile ''recoil velocity'' ndio imeiharibu ila ni kwa kushikwa na kupinduliwa kikakamavu ndio ikapasuka! aibuuu tupu!

mbona nchi za watu kuna show kali inayoonyeshwa ikimbatana na mandege ya kivita kufanya show, sisi gwaride ni ivi tu!

kwenye bold hapo unauhakika nivya kichaga????
 
aibu yetu au aibu yao
jibu ni aibu yao wenyeweeeeeeeeee na usanii wao yaki kila kitu cha kichina kombati,viatu,bunduki vyote disposable na wala amiri jeshi ashangai kwani wote ni wale wale
 
Back
Top Bottom