Masanja wa ze comedy aokoka;akiri maisha yake yalikuwa machafu amemrudia bwana yesu

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,138
Mchekeshaji wa zecomedy emanuel a.k.a masanja
ameamua kumpokea bwana yesu kama bwana na mwokozi wa maisha yake katika kanisa la
EAGT pale mnazi mmoja siku ya ijumaa....
emanuel ambae alikiri mbele ya madhabahu tangu aanze kusali hapo amekuwa kiumbe kipya na kuachana na maovu mengi ambayo yalikuwa yakimletea nuksi na sasa ameamua kuokoka na kumkiri yesu kama bwana na mwokozi wa maisha yake......haya wewe wasubiri urais uokoke .....Hongera bw masanja maisha yanabadilishwa hapa hapa dunian baada ya kifo
HUKUMU AKUNA KUDANGANYANA ATI SALA YA WAFU UKIFA IMRTOKA MWANAWANE
WERA WERA SUBIRI UOMBEWE KWENYE JENEZA SAMBI ZITAFUTIKAAA EEEEEHHHHHH
KAZI KWAKO
 
Mchekeshaji wa zecomedy emanuel a.k.a masanja
ameamua kumpokea bwana yesu kama bwana na mwokozi wa maisha yake katika kanisa la
EAGT pale mnazi mmoja siku ya ijumaa....
emanuel ambae alikiri mbele ya madhabahu tangu aanze kusali hapo amekuwa kiumbe kipya na kuachana na maovu mengi ambayo yalikuwa yakimletea nuksi na sasa ameamua kuokoka na kumkiri yesu kama bwana na mwokozi wa maisha yake......haya wewe wasubiri urais uokoke .....Hongera bw masanja maisha yanabadilishwa hapa hapa dunian baada ya kifo
HUKUMU AKUNA KUDANGANYANA ATI SALA YA WAFU UKIFA IMRTOKA MWANAWANE
WERA WERA
SUBIRI UOMBEWE KWENYE JENEZA SAMBI ZITAFUTIKAAA EEEEEHHHHHH
KAZI KWAKO

ha ha ha ha.....sikuwezi
 
siyo comedy hii!

katavi unapewa na src gazeti la msemakweli
unalalama comedy......yaaani nyie ndio mnaoendelea kuamini rais nyerere toka uko kijijini njoo mjini wamepita marais watatu ndugu amka sasa
 
katavi unapewa na src gazeti la msemakweli
unalalama comedy......yaaani nyie ndio mnaoendelea kuamini rais nyerere toka uko kijijini njoo mjini wamepita marais watatu ndugu amka sasa
Hiyo src gazeti la Msemakweli ndio naiona sasa kwenye orijino post hakuna! Thanxs anyway!
 
Nashukuru kwa kunijulisha uzee ndugu yangu tangu mnipe dada yenu wa jf ananiendesha putaaaaaaaa
cha mbale
 
Kweli amefanya zambi nyingi hata za kumtukana baba yao aliowatoa kwenye ulimwengu wa kukaa kwenye vijiwe
 
je wataacha kufanya kazi kwa kutegemea ushirikina? REMMY ONGALA aliweza kuacha masuala ya kishirikina kuvuta watazamaji hawa je?
 
Aisee yaani kama wanatumia ushirikina na kaenda kutubu tuaanza kuwacheka muda si mrefu mungu achanganywi best uwe moto ama baridi uvugu vugu ...pwaaaaaa
 
Kweli amefanya zambi nyingi hata za kumtukana baba yao aliowatoa kwenye ulimwengu wa kukaa kwenye vijiwe

Baba hiyo siyo dhambi, nadhani kama mtu alimtoa mwenzake kijiweni siyo tiketi ya kumfanya huyo ashindwe ku-exchange views zake. leo siyo jana mzee, maana watu husema kesho yako ni zao la pando la leo
 
je wataacha kufanya kazi kwa kutegemea ushirikina? REMMY ONGALA aliweza kuacha masuala ya kishirikina kuvuta watazamaji hawa je?

Dah!!
Inakuwa taab kidogo, naomba utuweke wazi, hizi ni hisia zako tu au una uhakika na ushahidi na hiki kifungu kidogo cha utata? Au nime overlook, maana siku hizi ukiwa na kipaji cha hali ya juu wanakuita mshirikina........,
 
Masanilo
View Profile View Forum Posts Private Message View Articles Add as Contact

JF Premium Member

shameless Premium member loh!!!!
 
mi sio kama takataka wenzako jiandae kabla ujaoga!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom