Wakuu, msaada kwenye tuta!!!
Ningependa kufahamu kuhusu shahada za pili zinazotolewa na Open University of Tanzania, especially MBA. Awali ya yote ningependa kufahamu Content ya shule itolewayo...
Wadau wa JF, yapata siku kama ya 3 au ya 4 leo, nikipita pale Fire, ukitokea magomeni, mkono wa kushoto kwenye ukuta wa shule ya jangwani kuna maandishi yanayosomeka, "MAKAMBA ANATAKA KUMUUA MAMA...
SALAAMZZZZ FROM ANKAL KAMU IN NAKURU: WEDDING OR EDUCATION?
ANKAL Issa Mhiddin Michuzi
I am sorry that, i have been unable to communicate with you on a timely manner. have been on a project in...
Belgian Catholic offices raided in sex abuse probe
Page last updated at 16:23 GMT, Thursday, 24 June 2010 17:23 UK
Officials said they were searching for evidence of possible abuse
Belgian...
Hakika kwa waliomuona Meya Salum Londa alipohojiwa kuhusu wizi wa viwanja moja kwa moja mwenye macho unajua huyu bwana anafwata..
Hatimaye polisi wameendelea kumhoji Meya Londa kwa kushiriki...
Or an we call it the The theory of the political behaviour of tanzanians.For sure an objective measurable theory can be found that may explain our behaviour.WE are so differant from other peoples...
MILANGO ya kinyanganyiro cha urais wa Jamhuri ya Muungano na ule wa Zanzibar, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) imefunguliwa katikati ya mazingira magumu ya maisha ya wananchi wengi.
Hadi juzi...
Hivi karibuni kuna mwanamke mmoja Mkoani Ruvuma alijitokeza mbele ya kituo cha terevisheni cha TBC1 na kusema (kwa uhakika) kuwa amekuwa akitokewa na mwalimu Nyerere na kupewa maagizo ampelekee...
Mwalimu alikuwa mfano mzuri wa kujimiliki nafsi kwa binadamu. Alipotukanwa,hakutukana,alipoteseka,hakuzungumza lugha ya vitisho dhidi ya waliomtesa,alipofanyiwa udhalimu na adui zake,yeye...
NIMEKUWA NIKISIKLIZA BUNGE LA TANZANIA,KWELI NI KICHEFUCHEFU KILA MBUNGE ANAYECHANGIA LAZIMA ATANGAZE NIA Utasikia nami natangaza nia.SASA SIE TUSIO WABUNGE NIA TUTANGAZA WAPI?
MSINGI NI KUCHANGIA...
Wapendwa
kwa wale mlio ewura na kwingineko najua mnajua kuna baadhi ya vituo vya mafuta waaminifu awachanganyi na mafuta ya taa
kwa msaada wa watanzania tunaomba mtuwekee wazi vipi visivyo...
Ndugu wapendwa kwa mlioshiriki kumuona jana mkurugenzi wa ewura kwa masikitiko napenda kusema ewura wanachangia kiasi kikubwa kushiriki kucheketua mafuta ya magari
kwa masikitiko makubwa...
Fuel adulteration: Action delayed is remedy denied
Saturday, 26 June 2010 12:46
By Karl Lyimo
One of the zillion things Tanzania's becoming infamous for is the long-cultivated habit of...
Awali nilizani zoezi la kusajili namba za simu ni kitu serious ambacho kingehitaji watu (wasajili) makini kumbe sivyo! Nimesajili namba 3, za tigo 2 na voda moja. Tigo ya kwanza ingawaje...
What is the juducial philosophy of our courts, especially the highest court? Does any one know? Or they don't even have a juducial philosophy....they are just all over the place...
Ndio kwanza nimerejea kutoka Nachingwea kumzika mama yangu aliyefariki Jumamosi iliyopita.
Niliwafahamisha wachache hapa kwa sms lakini nilishindwa kuwajuza wengi kupitia jukwaa kwa sababu ya...
Wapendwa, baada ya wanaJF kumchamba dada yenu, Mwa..nini vile kwa swali lake la kizushi, sasa nafikiri ni muda maarufu kwa wale woote ambao hawakumtukana wala kumjibu vibaya kwenda kujipatia...
Napenda kujua dhumuni la wenzangu ku post hapa au kuchangia habari fulani.
KUna watu tunakubaliana na wengine hawakubaliani kwa issue mbali mbali. Lakini swali langu ni je wenzangu pale...
Quotes From George W. Bush
"I promise you I will listen to what has been said here, even though I wasn't here." at the President's Economic Forum in Waco, Texas, Aug. 13, 2002
"We spent a lot...
Jana nilikuwa nasafiri kutokea Iringa nilikokuwa nimeenda kikazi, nilipofika Morogoro ikanibidi niingie sheli mojawapo hapo kujaza mawese (Sheli hii iko barabara ya Moro-Iringa kwenye junction na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.