MBUNGE wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe jana alipandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Kigoma akikabiliwa na shitaka la kumtoa kwa nguvu mtuhumiwa mmoja aliyekuwa chini ya ulinzi...
Habari zenu wake kwa waume ktk hili jukwaa.
Nina mpango wa ku purchase gari aina ya ISUZU wizard,Naomba uzoefu wenu juu ya gari aina hii NB: uzuri wake na matatizo yake, pia mnaweza kunipa...
Faru kulindwa kwa mitambo maalumu
Na Reuben Kagaruki
WIZARA ya Maliasili na Utalii itawawekea mitambo ya kisasa zaidi faru wanne waliobaki baada ya mwenzao kuuawa na majangili ili...
Mwendesha pikipiki achomwa moto bure
Na Jovither Kaijage, Ukerewe
MWENDESHA pikipiki mmoja ameuawa na wananchi katika wilaya ya Ukerewe, Mwanza baada ya kugongwa na baiskeli, katika...
1. Tanzania as a Country (through mikataba ya ajabu Dowans e.t.c)
2. Tanzanians (wananchi.... maisha yanaendelea kuwa magumu)
3. Tanesco (Kampuni inayotuangusha)
4. .......................
5...
A Christmas Greeting From a Muslim Daughter
By: Kari Ansari
When I became a Muslim thirteen years ago this month, I left behind the Christmas traditions my family celebrated every year of my...
Kuna watu watatu wameuwawa, usiku wa manane, kwa madai ya kugombea ardhi kati ya wakulima na wafugaji (wamasai) wilayani Kiteto. Inasemekana marehemu walikuwa wakifanya tambiko la asili ili risasi...
WALIMU NI BORA ZAID YA WANASIASA. KWASABABU KILA MWANASIASA KAPITIA KWA MWALIMU LAKINI HAKUNA MWALILMU ALIYEPITIA KWA MWANASIASA.
PIA NDIO WALIOTUTOA UJINGA MPAKA TUKAJUA HATA "A" LAKINI KWANINI...
Wana JF naomba kujuzwa Dawa ya Malaria kwa sasa ni ipi? maana kila dawa inaonekana haina nguvu, je tutumie Kwinini ambayo inaonekana inatibu Malaria? wasiwasi wangu naona kana ni dawa ya mwisho...
SHIRIKA la Umeme (Tanesco) jana lilitangaza mgawo mpya na mkubwa wa nishati hiyo ambao utavifanya viwanda, maduka, ofisi na makazi kukosa umeme kwa kati ya masaa sita hadi 12 kwa muda wa mwezi...
Friends/Relatives
Our beloved father Mzee Akile is no more. He passed away last night and the funeral will be held in Tanga on 27th Dce 2010.
Mzee Akile is former Regional Cultural Officer for...
Wanajamvi kwa sababu si mara zote tunfanikiwa kusoma thread au comment ya great thinker wote nimeona itakuwa vizuri kila mmoj wetu akitaja na kutoa link ya thread au coment zake tatu bora kwa...
RAIA sita kutoka Uganda, Guinea na Liberia wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala kujibu shitaka la kukutwa na dawa za kulevya aina ya cocaine zenye thamani ya Sh 930 milioni...
Exuper Kachenje (Mwananchi)
SHIRIKA la Umeme (Tanesco) jana lilitangaza mgawo mpya na mkubwa wa nishati hiyo ambao utavifanya viwanda, maduka, ofisi na makazi kukosa umeme kwa kati ya masaa sita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.