Haya ni maoni ya Mhariri wa gazeti la Habari Leo. (msisitizo wa rangi nyeusi wangu na maoni ya kwenye mabano - MM)
Tukarabati haraka miundombinu bila kuogopa gharama
Imeandikwa na Mhariri...
Serikali imesema ilitupilia mbali mpango wa kuzalisha mvua kwa kutumia teknolojia ya Mfalme wa Thailand uliokuwa umeombwa na Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa, alipotembelea nchi hiyo mwaka...
Akamatwa, alala kituo cha Polisi
Adaiwa kutapeli magari 18, manne yakamatwa, mengine yasakwa
Alikuwa anadai ni kwa ajili ya chama
CCM
Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa...
WAZIRI Mwadini (38), mkazi wa Oysterbay, amefikishwa katika Mahakama ya Mwanzo Kinondoni kujibu shitaka la kumshambulia askari na kumtukana matusi ya nguoni.
Imedaiwa na Karani Fatma Khatibu...
Rais Jakaya Kikwete, aliondoka nchini jana mchana kuelekea Davos, Uswisi kuhudhuria kikao cha kila mwaka kuhusu uchumi (World Economic Forum), kwa mujibu wa taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya...
Jeshi la polisi mkoani Kigoma limemwachia huru kwa msamaha maalumu mkazi mmoja wa kijiji cha Nyamidaho wilayani Kasulu aliyesalimisha kwa serikali ya kijiji, silaha ya kivita aliyokuwa akiitumia...
Majambazi yameendelea kutingisha nchi na katika tukio la kuhuzunisha watu wawili wakiwa na silaha wamemuua kwa kumpiga risasi kichwani mke wa mfanyabishara maarufu wa madini ya tanzanite...
VINARA wa upatu wa Development Enterpreneurship Community Initiative (DECI), wataendelea kusota rumande hadi Februari 8, mwaka huu, kwa kuwa upelelezi bado haujakamilika.
Watuhumiwa hao, Jackson...
SERIKALI imekiri kuwa tatizo la umeme visiwani Zanzibar linatokana na uchakavu wa mitambo ambayo ni ya muda mrefu na inahitaji marekebisho na gharama kubwa.
Katika kipindi cha maswali ya papo kwa...
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda leo mchana (Ijumaa, Januari 8, 2010) anatarajiwa kufanya ziara ya siku moja katika wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro kukagua athari za mafuriko na jitihada ambazo Serikali...
Kila saa 3 usiku TBC wanaonyesha kipindi cha promotion ya zain.
Kinachoniwewesesha ni yule mtangazaji wa kike "Doreen", ivi yale matt ni ya mchina au???
kwanini anayaachia vile tena makusudi kwa...
Ina karibu wiki nzima bila picha mpya. Ukiingia huko kuna maelezo ya hitilafu za kiufundi. Kule Kwanzajamii.com hivyo hivyo, hakuna fundi mitambo! Isije ikawa wamehujumiwa.
Ndugu zangu niko maeneo ya katikati ya jiji la DSM asubuhi hii tulipaki gari yetu Mtaa wa Jamhuri kwa dakika kama 40 hivi , tuliporudi tena tulikuta gari yetu imebadilishwa namba na pembeni yake...
Hotuba ya kumaliza mazishi!!!
Mwenyekiti wa kamati ya mazishi akainuka na kuanza kusema "kinachofuata sasa ndugu wafiwa na marafiki wa marehemu ni kusoma historia fupi ya marehemu tuliyemzika...
COLORADO,Marekani
MTOTO wa kiume raia wa hapa mwenye umri wa miaka 14 anadaiwa kuwaua wazazi wake kwa kuwapiga risasi baada ya kuagizwa kufanya kazi ndogondogo za nyumbani.
Kwa mujibu wa...
Naomba niulize wana JF, hivi huu ustarabu wa kuweka watu mijini eti wafunge magari yanayo paki mahali pasiporuhusiwa umetoka nchi gani, je hizo pesa mkaguzi mkuu wa serikali anazifahamu.
Mji wa...
Wana JF ninahoja.
Kwa nini Tanzania tusianzishe chama cha wenye magari, ambacho kitaweza kutetea haki za kila mmiliki wa gari hapa nchini, maana tumechoka na manyanyaso ya kodi zisizo na kichwa...