Ushuru na Faini za kupaki gari ni halali? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushuru na Faini za kupaki gari ni halali?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by rimbocho, Jan 28, 2010.

 1. r

  rimbocho Member

  #1
  Jan 28, 2010
  Joined: Jan 11, 2010
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba niulize wana JF, hivi huu ustarabu wa kuweka watu mijini eti wafunge magari yanayo paki mahali pasiporuhusiwa umetoka nchi gani, je hizo pesa mkaguzi mkuu wa serikali anazifahamu.

  Mji wa moshi ni tofauti kidogo, kuna mtari pembeni ya barabara ukipaki gari tairi likiwa nje ya mstari faini 50,000/= rushwa 20,000/= hawa vijana wako wengi kweli na wanakuvizia ukikanyaga tu mstari wanasubiri ushuke uende zako wanakuja mbio wanafunga myororo, wana kaa pembeni wanakusubiri urudi uwape 50,000/= kama hutaki usumbufu utoe 20,000/= bila risiti.
  Hivi hawa jamaa kwanini wasikuelekeze wakati unapotaka kupaki gari lako?
  Kwa nini wajifiche then waje kufunga gari?
  Je huu ushuru wa kupaki gari sh 500/= unaendana na kipato cha watanzania?

  Manispaa wanalijhua hili

  Naomba niwasilishe?
   
 2. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  wizi mtupu ndo Tanzania hiyo Maisha bora kwa kila mtanzania, utulivu na amani Rushwa kila kona Jery Muro nenda Moshi na Arusha ukaumbue watu
   
Loading...