Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

MTOTO wa umri wa miaka 14 Samir Faraj Kheir anashilikiwa na Jeshi la Polisi kutokana na kumuuwa mwenzake Khalfan Zaidi Abadi (14) kwa kumlenga jiwe la kichogo na kumsababishia kifo hapo hapo...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kampuni ya Simu za Mikononi VodaCom sasa hivi wanaendesha kampeni kabambe ya Tuzo Points. Kampeni hii inauhusisha mteja ku-redeem points zako na kuweza kupata zawadi mbali mabali kuanzia na SMS za...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Walokole wamehoji kama kuvaa suti na kuendesha mashangingi kwa Watz haulingani na umasikini wetu ni bora Waziri Mkuu aonyeshe mfano kwa kutumia bajaji badala ya mchuma wa bei mbaya.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
By CELEAN JACOBSON updated 4:03 p.m. ET Oct. 5, 2009 JOHANNESBURG - The Sudanese billionaire behind a lucrative prize to promote leadership in Africa on Monday condemned the killing of...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
CUF watishia kujitoa kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tume ya Uchaguzi, (NEC). Chama cha CUF kimetishia kujiondoa katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
I don't remember what position we were ranked last year but apparently we are in the "Medium Human Development" category. I guess they did not see the picture of the school kids sitting on the...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
CHAMA cha Wananchi (CUF) kimewataka Watanzania kumpuuza naibu katibu mkuu wa CCM-Bara, George Huruma Mkuchika kwa madai kuwa hajui anachokifanya. Mkuchika alisema wakati akihutubia sherehe za...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Na Tumaini Makene MFANYABIASHARA maarufu wa Zanzibar, Bw. Mohamed Raza, ameibuka na kusema kuwa bila Bunge la Tanzania chini ya Spika Samuel Sitta kusimama kidete katika mambo kadhaa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Pm me now with cheap price
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wizara ya ardhi inayoongozwa na mseminari John Chiligati na Katibu Mkuu mseminari Salome Sijaona imepokea maelekezo kutoka uongozi wa juu wa makanisa kugawa viwanja kwa wakristo wengi iwezekavyo...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
  • Closed
Nyani Ngabu alikuwa boara mzuri sana ambaye nilikuwa sikosi kupitia post zake hata kama niko bize namna gani ingawa alikuwa akitoa pumba nyingi sana. Inaniboa sana siku hizi kuwa hakuna Nyani...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Mwakalebela;tenga kazi kwenu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wapo wengi wanateseka na tatizo la kutoka nje ya nyumba..ndoa nyingi zinamsuguano unaopishana leo hii Mungu yupo kwa ajili ya kuokoa ndoa yako sali sala ifuatayo..moja ya masharti ni kuwa na mkeo...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
huyu ni raisi wa tanzania kikwete ambae anamadaraka makubwa kulio raisi yoyote duniani,hii ni kwamba kama raisi atakuwa mjinga basi wote tutakuwa wajinga maana atachagua wajinga kama tunavyojionea...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Waziri atoboa: Matajiri wanaweka viongozi madarakani Thursday, 01 October 2009 16:10 Asema lengo ni kutaka kulinda maslahi yao Adai huo ni udhaifu, dawa yake inapikwa Prosper Mosha...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari hii nimeitoa kwenye yahoo featured news, inasikitisha kuona kuwa uchumi wetu kama nchi haufiki kiasi cha pesa alichonacho hata mtu wa 10 kwa utajiri duniani. Mbaya zaidi wametutaja kama...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Waziri Mkuu Mizengo Pinda anaondoka Dar es Salaam leo usiku kwenda Geneva, Uswisi kumwakilisha Rais Jakaya Kikwete kwenye Mkutano Mkuu wa Shirika la Mawasiliano la Kimataifa (International...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wafunga barabara kuu Segera- Chalinze Magari yakwama, yatumia njia za panya Kisa, wakataa kunyang'anywa ardhi yao Baadhi ya wakazi wa Mji mdogo wa Segera wilayani hapa mkoani wa Tanga, jana...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Hivi tanzania in masterplan kweli? Je hupitishwa na kuwa reviewed na bunge? Wapi tunaweza kupata information zaidi? Naona nchi inaendeshwa ki ad hoc zaidi!!!!!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanasayansi nchini Marekani wamejaribu kufanya uchunguzi kugundua ni kitu gani humtokea mtu anayekata roho na wamethibitisha kwamba kitendo cha kukata roho huwa si cha dakika moja tu puu mchezo...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Back
Top Bottom