Nimeipata ile PhD asanteni

Kithuku

JF-Expert Member
Nov 19, 2006
1,395
208
Nimepata taarifa rasmi leo. Wote humu JF mlionisaidia you are acknowledged. Thank you all once again, may God reward you abundantly.
 
Hongera sana; hadi wengine tulishasahau tukadhania bado unagombeana nao katika kutetea hoja yako. Hongera sana mkuu na karibu.
 
Hongera sana sana mkuu. Tunaamini ingawaje safari ilikuwaya milima na mabonde, sasa imefika mwisho. Karibu tena na tunategema michango yako hapa ukumbini.
 
Nimepata taarifa rasmi leo. Wote humu JF mlionisaidia you are acknowledged. Thank you all once again, may God reward you abundantly.
Hongera mkuu Kithuku; tumetoka mbali pamoja! Inafurahisha kujua umefanikisha mojawapo ya hatua muhimu katika maisha yako. Hongera!
 
Nimepata taarifa rasmi leo. Wote humu JF mlionisaidia you are acknowledged. Thank you all once again, may God reward you abundantly.

Hongera Dr 'Kithuku'!

Ungetupa background kidogo (kama hutajali) juu ya hiyo PhD.
 
Hongera Kithuku kwa ku Panda hadi Darini (PhD).
Kwenye acknowledgment page yako umekumbuka kushukuru wana JF?
Just ribbing you, man, hongera sana!!
 
Hongera sana PhD si mchezo;Hongera sasa uitumie vilivyo na sio kujaza vyeti tu.
 
Dr Kithuku

Poor Hair Distribution (PhD) hongera sana natumaini kwenye fani yako jamii itanufaika sana na hutakimbilia kwenye siasa ....ubunge ama udiwani

Hongera
 
Dr Kithuku

Poor Hair Distribution (PhD) hongera sana natumaini kwenye fani yako jamii itanufaika sana na hutakimbilia kwenye siasa ....ubunge ama udiwani

Hongera

I like that. Naomba kuteka hii thread ya Kithuku kidogo, kila mtu mwenye "definition" ya PhD aweke hapa. Mi naanza na

1. Permanent head damage
2. Panda hadi darini
3. ............
 
6. Portable Hard Drive
7. Post Hole Digger
8. People Helping the Disabled
9. Pre-Hearing Detention
10. Post Holiday Depression
11. Professional Help Desk
 
Back
Top Bottom