tanzania automobiles association (TAA) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

tanzania automobiles association (TAA)

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by rimbocho, Jan 28, 2010.

 1. r

  rimbocho Member

  #1
  Jan 28, 2010
  Joined: Jan 11, 2010
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana JF ninahoja.

  Kwa nini Tanzania tusianzishe chama cha wenye magari, ambacho kitaweza kutetea haki za kila mmiliki wa gari hapa nchini, maana tumechoka na manyanyaso ya kodi zisizo na kichwa wala miguu. Hapo bado trafiki utakuta unaenda ofisini wana kusumbua hujui sheria gani anaitumia kukuchelewesha njiani.

  Hiki chama kitakuwa na uwezo wa kuwapa taarifa wenye magari juu ya sheria mbalimbali na kuwatetea pindi zinapoibuka kodi za ajabu mf. Fire extinguishe nani anajua imetoka wapi? sheria gani?

  Naomba kuwasilisha
   
Loading...