Promotion Ya Zain TBC | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Promotion Ya Zain TBC

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KakaJambazi, Jan 28, 2010.

 1. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #1
  Jan 28, 2010
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Kila saa 3 usiku TBC wanaonyesha kipindi cha promotion ya zain.
  Kinachoniwewesesha ni yule mtangazaji wa kike "Doreen", ivi yale matt ni ya mchina au???

  kwanini anayaachia vile tena makusudi kwa kuyabana yapande juu?
  kwa haraka haraka unaweza ukadhani ni makalio.
  Ivi kwanini asivae tshirt za zain kama wale wadada wanaochezesha droo???

  Ile mitindo anayovyaa mbona inadhalilisha???
   
Loading...