Hotuba ya kumaliza mazishi!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hotuba ya kumaliza mazishi!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Masanilo, Jan 27, 2010.

 1. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hotuba ya kumaliza mazishi!!!

  Mwenyekiti wa kamati ya mazishi akainuka na kuanza kusema "kinachofuata sasa ndugu wafiwa na marafiki wa marehemu ni kusoma historia fupi ya marehemu tuliyemzika hapa leo. karibu ndugu uliyeandaliwa kwa shughuli hiyo"

  Ifuatayo ni historia fupi ya marehemu tuliyemlaza ktk nyumba ya milele.

  Marehemu alizaliwa juu ya mti ambapo mzazi wake alijihifadhi baada ya kukimbia mafuriko miaka 26 iliyopita, hakubahatika kupata kazi ya
  maana japo alisoma mpaka kidato cha tano, aliamua kuacha shule mwaka juzi baada ya kuona elimu haina mpango kwake. marehemu alikuwa kero kwa familia yake hasa kwa tabia yake chafu ya udokozi wa mboga, uongo, uvutaji bangi, ubakaji wa mifugo na baadae ushoga.


  Mimi binafsi mjomba wake nimefurahishwa sana na kifo cha marehemu huyu kwani alishawahi kunipakazia kuwa nimekufa kwa kipindu x2 kiasi kwamba ndugu wote wakakusanyika na kunililia msiba.

  Mtoto alitutia hasara sana kwani alikuwa mwizi wa vitu vya ndani na pesa! pia tumepoteza gharama kibao kumsomesha lakini aliishia kuwa shoga tangu tarehe 06/04/99.

  Marehemu hakuugua bali kifo chake ni cha kujitakia kwani kajiua baada ya kukosa nauli ya kwenda Mombasa kuhudhuria onyesho la vikundi 3 vya mduara. Kwa niaba ya familia, wazazi na ndugu wa marehemu tunatoa pongezi kwa Mungu kwa kutupunguzia kero. Mwenyezi Mungu asiilaze roho ya marehemu peponi wala asimpumzishe, kama kuna mkong'oto huko ampe kiaina

  MOD mnaweza iweka kwenye jokes!
   
 2. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,768
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 160
  Masanilo kiongozi - hii nilishatoka hapa longi kitambo mzee.
   
Loading...