Jamani mbona mi nipo hivi?! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani mbona mi nipo hivi?!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tripo9, Sep 11, 2010.

 1. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #1
  Sep 11, 2010
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,168
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Heshima daima,
  Mimi bwana ninapotakiwa kuongea mbele za wa2 roho (sijui moyo) ina (una)nidunda. Naogopa. Natetemeka wakati mwingine.

  Bali mazungumzo yanapochanganyia uoga wote unapotea.

  Sasa mimi hii inanikera sana.

  Naomba suluhisho la hili tatizo langu tafadhalini.

  Heshima mbele!
   
 2. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #2
  Sep 11, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,173
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  Pole.

  Fanya kitu kimoja. Kama unaweza omba vipindi vya kufundisha shule yoyote ya karibu na ulipo. Angalau miezi mitatu tu. Hiyo ndiyo tiba na utaweza kuzungumza popote mbele za watu bila hofu.
   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  Sep 11, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  Jichanganye na watu mbalimbali na pia uwe unachangia mijadala mbalimbali. Kubwa zaidi ni kujiamini!
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Sep 11, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Pole sana broda.

  Hali kama yako ilipata kunisumbua sana!

  Ilifikia wakati niliona bora dunia ipasuke kuliko kuongea mbele za watu!
  Hakuna siri au dawa hapa zaidi ya kufanya mazoezi ya kuongea na watu wengi mbalimbali!

  Mimi nilianza kwa kuwa MC wa shuguli za familia za ubatizo Kipaimara na ubarikio kwa kulazimishwa sana!...Lakn badae taratibu nilizowea na kwa sasa ni expert wa mihadhara!

  Pia kuna vitabu vingi tu vinavyofunza kuongea na hadhara kubwa au kadamnasi, na mara nyingi unashauriwa kuanza by taking a deep breath, and avoid pointing your eyes direct with the faces of persons, maana unaweza ukakutanisha macho na mtu ambaye one way another ataathiri mtirririko wako wa points!!

  For more you can Google to get the tips!
   
 5. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #5
  Sep 11, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,860
  Likes Received: 23,479
  Trophy Points: 280
  Kama wewe ni muumini wa alkoholi, piga mikupuo kadhaa ya grants kabla hujaenda kutoa mihadhara.

  Mi huwa inaniokoa sana napokuwa katika hali hiyo........
   
 6. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #6
  Sep 11, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,173
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280

  Au kula bata(Mzinga wa Konyagi) mwanangu halafu jichanganye. Utapona tu.
   
 7. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #7
  Sep 11, 2010
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  with red one is very helpful,mara nyingine inashauriwa kufanya rehearsal ya kile unachoenda kupresent at least mbele ya watu wachache even ur friends it can work out.Gud cheer
   
 8. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #8
  Sep 11, 2010
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,168
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Wakubwa nimesoma michango yenu. Nashukuru nita-practise nione.

  Kwa ndugu ulenishaur nifundishe, hili nlishawah fanya. Nlipomalza form 4 nlipiga tempo shule flan kwa takriban 8 months.

  Kuhusu ulabu mimi sijajitumbukiza huko.

  Asan-10 sana na michango zaid inakarbishwa
   
 9. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #9
  Sep 11, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  i hope u know anatania eeh!hii inaweza kuwa suicide mission.
  Inasaidia kama ukifanya jitihada za kuwa comfortable kwanza wewe mwenyewe na issue unayoenda kuongelea (kusoma reference za kutosha etc) na pia kuepuka rushing.jiandae mapema,fika mapema u-chat na watu kadhaa upate mitazamo yao and look ur best pia. la pili ni kuwa na attitude ya kujifunza pia kutoka kwa audience yako.its ok not to nkow EVERYTHING. kuwa tayari kujifunza kutoka kwao pia na admit confidently when you get something new and make followup in it. Ukienda kutoa mhadhara wakati una attitude kwamba baada ya hapo u will one step ahead (kwa maana kuwa utakuwa umejifunza vitu viwili vitatu), u will be looking foward to them.Kama alivyosema PJ,google utapata trick nyingi.All the best
   
 10. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #10
  Sep 11, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Kitu kingine unachoweza kufanya ni kutoa mchapo wa kichekesho katika utangulizi wako. Wakati watu wanacheka wewe unacfheka pia na taratibu unavuta pumzi na kuongeza confidence. It works for me all the time.
   
 11. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #11
  Sep 12, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  nenda kasaidie wagombea kupiga kampeni mikoani
   
Loading...