Websites za RAIA MWEMA na MWANAHALISI kulikoni?

Consultant

JF-Expert Member
Jun 15, 2008
11,401
20,661
Hivi inachukua siku ngapi hawa watuwa RAIA MWEMA na MWANAHALISI kuweka habari mpya kwenye websites zao??

Tunanyimwa uhondo na haki yetu ya kupata habari sisi tusioweza kuaccess hard copies za magazeti yao. Mbona MWANANCHI wanaweka habari mpya kwenye website yao KILA SIKU, tena kabla ya saa 6 kwa saa za TZ?

Hakuna watu wa Raia Mwema na Mwanahalisi humu ndani watueleweshe?
 
Back
Top Bottom