Kikwete vs wafanyakazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete vs wafanyakazi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Gama, Sep 12, 2010.

 1. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Ndugu wafanyakazi,KIKWETE ni mwamba kwelikweli. Ona hii:"WAFANYAKAZI HATA MGOME MIAKA 8 SINA FEDHA YA KUONGEZA MSHAHARA". lakini kwa wiki 2 za kampeni katoa ahadi za TRILION 42. Wafanyakazi, hii inaingia akilini?
   
 2. Lyangalo

  Lyangalo JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2010
  Joined: Sep 10, 2009
  Messages: 681
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Kwa mwenye ufahamu hawezi kushangaa kwa sababu ndo muda wake wa kudanganya na akishapata hutamhoji.
   
 3. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #3
  Sep 12, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  hii nimeipenda sasa ni kazi kwenu wafanya kazi kama mtakuwa maamuma wa kusoma alama za nyakati hii itawasaidia,
  lakini kama mmefilisika mawazo na mtazamo mmekwisha, mtatumika ngazi ya kupandia tu, harafu badein mtakuwa majuto
   
 4. kisu

  kisu JF-Expert Member

  #4
  Sep 12, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 802
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Yes we can!!!! Chagua Slaa 2010.
   
Loading...