Unatangaza unauza,ukipigiwa simu na mnunuzi unaanza longolongo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unatangaza unauza,ukipigiwa simu na mnunuzi unaanza longolongo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mfianchi, Sep 11, 2010.

 1. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #1
  Sep 11, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  Jamani mimi nimekereka kupita kiasi yaani nataka hadi kutapika kwa kukereka huko,siku hizi kuna tabia imezuka watu wanatangaza katika magazeti,mitandao kuwa wanauza vitu kwa mfano simu,kamera ,software n.k na wanaweka namba zao za simu,cha ajabu ukimpigia mtakubaliana kuwa atakuuzia ,sasa ukimwambia tuonane mi nina fungu hapo ndipo longolongo linaanza ,utasikia oh niko mbali tuonane kesho muda fulani ,ukifika huo muda utaona huyo mtu hatokei ukipiga simu utasikia ah nilisahahu kesho basi nitakupigia hapo ndio sahau,na ukimkumbusha utasikia ah,ile kitu kuna ndugu yangu kaimaindi au blahblah kibao.
  Sasa ninachojiulize kama huuzi unatangazia nini?na kama basi umeshauza hicho kitu au umefikiria mengine uungwana unatakiwa umwambia huyo mtu kuwa kile kitu siuzi tena au nimempa ndugu yangu,kuliko kusumbuana ati ,mtu unaacha shughuli zako ,unapoteza airtime kwa mambo ambayo unakuwa kama usanii vile,ah nasikia kichefuchefu kweli kwa hiyo tabia
   
 2. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Pole mkuu! UNaonaje ukimmwaga hadharani huyo mjingamjinga ili tumkome!?
   
Loading...