Jirani zetu Kenya licha ya matatizo yao, wanapiga hatua kuyatatua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jirani zetu Kenya licha ya matatizo yao, wanapiga hatua kuyatatua

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by geek, Sep 12, 2010.

 1. g

  geek Member

  #1
  Sep 12, 2010
  Joined: Feb 12, 2009
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimevutiwa na huu mradi ambao nilipokuwa Kenya hivi karibuni nilishuhudia ukianza kuonekana ni jinsi gani utaondoa tatizo sugu la msongomano wa magari kuingia na kutoka mji mkuu Nairobi.

  Ni mradi wa barabara ya Thika, bofya hapa uone. I'm sure serikali yetu ingekuwa na fikra nyoofu wangekuwa na kitu kama hiki kwa barabara za Dar Es Salaam, hata kampeni za Dar ingekuwa kazi rahisi kwao - lakini wapi???????????.
   
 2. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Viongozi wa Kenya wanajua fika kuwa kucheza na wananchi ni kucheza na ajira zao. Ni kwamba wananchi wa Kenya siyo mabwege kama huku kwetu ambako flana za kijani za kupigia deki na vikofia vya njano ndiyo mtaji wa kuingia madarakani. Kinachofuata hapo ni ahadi hewa na propaganda.
   
Loading...