Fogo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fogo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mlenge, Sep 13, 2010.

 1. Mlenge

  Mlenge Verified User

  #1
  Sep 13, 2010
  Joined: Oct 31, 2006
  Messages: 433
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 60
  Moshi (na Arusha?) mtu tajri huitwa "fogo".

  Akitokea Fogo ambaye ataamua kulipa "fidia" Watanzania wote ili "alete maendeleo" kwa "kuwekeza" kwenye ardhi yote ya Tanzania itakuwa sawa?

  Vipi kama atachukua nusu ya nchi yote?

  Robo?

  Kilomita za mraba 200?

  Hekta 200?

  Hekta moja?

  Mita ya mraba moja?

  Watu milioni 20?

  Milioni 2?

  Laki mbili?

  Elfu Ishirini?

  Elfu mbili?

  Mia mbili?

  mtu mmoja?

  ?
  ?
  ?
  ...
  ?
   
 2. D

  Dopas JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2010
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 1,151
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  [Akitokea Fogo ambaye ataamua kulipa "fidia" Watanzania wote ili "alete maendeleo" kwa "kuwekeza" kwenye ardhi yote ya Tanzania itakuwa sawa? [Quoting MLenge]

  Sio sawa huo ni wizi. Kwanza atatoa hela wapi ya kuwanunua watanzania wote? Bila shaka huyo ni mwizi aliyebobea. Sina shaka yupo ndani ya CCM kwani sio rahisi atokee mwizi hadi akubuhu kama halindwi ya serikali inayoongozwa na wezi.

  Wezi wanajuana. Ndo maana bado kidogo tu nchi iuzwe nasi tuwe watumwa ndani ya nchi yetu wenyewe. Hiyo itatekelezwa hao mafisadi CCM wakirudi kuiongoza nchi.
   
Loading...