Matraffick airport/tazara mnatia aibu jamani;jiheshimuni???afande mwema msaada

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,949
22,107
Wpendwa kuna ma traffick hapa karibu na airport
wao wako kama 7-10 wamekuwa wakijikusanya na kukaa nje ya geti la kampuni ya pepsi
hapa kidogo karibu ya kituo cha airport kuelekea mjini...jamani cha ajabu sio hivyo
wameagiza gari la breakdown kabisa hii ni aibu kwa taifa...wakikukamata wanakupeleka
ni kama sehemu ya maficho unatoa hela unaondoka ....jamani hizi rushwa live mpaka lini jamani

binafsi mnatia aibu hata kama mshara mdogo jamani embu jiheshimuni...wengine wako pale tazara
kwenye mataa yuaani hawa ni maharamia kabisa wamenunua na magari yao wakikamata
wanakupeleka kwenye magari yao ya tinted unatoa hongo unaondoka...ajabu folen zimejaa unakuta
wamejazana na makonda na madereva wakiwapa buku 3 5 inategemea mlivyoelewana

jamani hii aibu mpaka lini???
 
Swala la rushwa kwa askari wa barabarani limeshapigiwa kelele sana hadi makoo yamekauka.
Ah! mi nishachoka bana liwalo na liwe tu.
 
mbona waliambiwa wachanganye na zao

ndo wanamix hivyo
 
hawa si wale waliompelka jemedry Wao Jerry Murro likizo isiyokuwa na Malipo? nishawazoea pia nimewatengea bajeti yao
 
hapo airport kuna fundi viatu huwa anawachukulia hela, kama saizi wako hivyo basi ni mradi wa boss mmoja. Nchi inaendeshwa kizembe hii jamani? Tunaomba picha kama unaweza kuwafotoa weka hapa mkuu ili tuwajuze watu zaidi.
 
Back
Top Bottom