Mtu Mfupi Kuliko Wote Duniani Apatikana Kolombia

senator

JF-Expert Member
Aug 9, 2007
1,924
66

Mwanaume mfupi kuliko wote duniani amepatikana nchini Kolombia akiwa na urefu wa sentimita 70 tu na uzito wa kilo 10.
Edward Nino Hernandez wa nchini Kolombia ameingia kwenye kitabu cha rekodi za dunia, Guinness World Records akitambulika kama mwanaume mfupi kuliko wote duniani.

Nino ammbaye ana urefu wa sentimita 70 tu na uzito wa kilo 10 tu amekuwa mwanaume mfupi kuliko wote duniani akivunja rekodi iliyokuwa ikishikiliwa na mwanaume wa nchini China, He Pingping ambaye alifariki mwezi machi mwaka huu akiwa na urefu wa sentimita 74.
"Hajarefuka tena tangu alipofikisha miaka miwili", alisema mama yake Nino, Noemi Hernandez.
short.jpg

Edward Nino Hernandez, right, eats lunch with his eleven-year-old brother in their home in Bogota Monday. Hernandez, 24, who is 70.21 cm, has been recognized as the world's shortest man in the upcoming Guinness World Records 2011 book.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom