Patel: where do you bank?

Patel: where do you bank?

Gama

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
13,264
Reaction score
4,745
Nimekuwa nikijiuliza swali hili mda mrefu: je, wahindi na waarab hutunza fedha zao ktk bank ipi?, maranyingi nimekuwa nikikaa kwenye misururu ya bank hata masaa3 lakini sioni mwarabu ama muhindi hapo bank, mahala pekee ninapo kutana nao ni bureaux wakinunua forex na mara nyingi watoto wawili wa kidos wakikutangulia utaambiwa pound zimeisha au us$ zimebaki ndogondogo (50s and less). Wana jf naomba maelezo.
 
Wanaficha kwenye benki ya chini za godoro zao.
 
Back
Top Bottom