Maoni kwa Michuzi yamepungua sana nadhani ni Jamiiforums... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maoni kwa Michuzi yamepungua sana nadhani ni Jamiiforums...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mzozaji, Oct 23, 2010.

 1. mzozaji

  mzozaji JF-Expert Member

  #1
  Oct 23, 2010
  Joined: Jul 28, 2010
  Messages: 257
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Jamani kama mtakuwa mnachunguza siku hizi maoni kwenye Michuzi Blog yamepungua sana labda kwa asilimia 70 hivi. Michuzi blog ilikuwa ndio sehemu ya kupata maoni mengi kwa issue mbalimbali za kitaifa ila kwa sasa hakuna kitu kabisa. Mimi naamini kabisa kuwa vichwa vyoote vimehamia Jamiiforums kwani kuna uhuru zaidi au mnaonaje wadau?
   
 2. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,074
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  Thread nyingine bana.. \

  wasted
   
 3. Mawenzi

  Mawenzi JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Very possible mzozaji
   
 4. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Tuwekee link tuhakikishe
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  nadhani hapo ndipo tunapoona tofauti ya blog na forum
   
 6. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Nilitembelea kule nikakuta posts zingine hazina comments kabisaaa.
  nadhani watu wameona wanalishwa upupu na jamaa keshapoteza soko. subiri baada ya uchaguzi ile globu itakosa watembeleaji na yeye atakuwa miongoni mwao. RUSHWA mbaya sana
   
 7. K

  Kanyafu Nkanwa JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2010
  Joined: Jul 8, 2010
  Messages: 812
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Mi-soup yeye ukiweka upupu kama huu unaomwagwa hapa daily anautupilia mbali. Tatizo la hapa asilimia kubwa sana ya uchangiaji ni upupu (sina data lakini inaweza kuwa 90%). Michuzi anajitahidi kuchuja, ambayo nadhani ni nzuri sana. Pia kumbuka kuwa siyo kila post lazima iwe na comments.
  JF hasa ilikuwa 2007-2008.
   
 8. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #8
  Oct 24, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Michuzi anapenda sana kujipendekeza kwa CCM
   
 9. Eliphaz the Temanite

  Eliphaz the Temanite JF-Expert Member

  #9
  Oct 24, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,836
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Kweli kabisa sikumbuki ni lini nimecoment michuzi the last time! Si hilo tu magazeti yoye yenye mlengo wa kukitetea chama cha mapinduzi na yenyewe yamepoteza mvuto vile vile! CCM imegeuka kero na karaha kubwa sana kwa watanzania!
   
 10. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #10
  Oct 24, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,325
  Likes Received: 19,492
  Trophy Points: 280
  wewe hadi sa ivi ulikuwa unamtembelea michuzi?????
  Watu washamsahau zamani
   
 11. l

  lily JF-Expert Member

  #11
  Oct 24, 2010
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwa michuzi kumejaa green and yelo tu, tushahamia U=turn
   
 12. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #12
  Oct 24, 2010
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Mwache huyo michuzi azidi kupanga picha za jk na vilema kwa kuwadhihaki kana kwamba leo ndo anakumbuka kutatua matatizo yake..
  Hatutaki tena raisi anayekenua 365 days na kusafiri kama rubani au air hostess!!..akawe raisi bagamoyo hata milele!!
   
 13. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #13
  Oct 24, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  kwa taarifa yako mi-thubu ni employee wa ccm
   
 14. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #14
  Oct 24, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  michuzi is a beneficiary kutoka mtandao uliopo madarakani, anaweza hata akaitwa kwenda kupiga picha za watoto wa vigogo wanaooana ulaya na marekani
   
 15. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #15
  Oct 24, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Mkuu hilo sina ubishi maana jamaa namjua yule. maadili hana kabisaa. lakini ndo watawala wanamtaka awe pr wao. Historia itamwondoa taratiiib mkuu

  hahaha hahaha belinda aminia
   
 16. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #16
  Oct 24, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  www.issamichuziblogspot.com
   
 17. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #17
  Oct 24, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Habari zake za kila siku zinafanana (monotony)
   
 18. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #18
  Oct 24, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,916
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  Mi nishaachaga kumtembelea siku mingi!!

  Hivi bado blog yake ipo????
   
 19. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #19
  Oct 24, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Nilishasahau Kabisa kuhusu blog ya Michuzi...
   
 20. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #20
  Oct 24, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,578
  Likes Received: 3,877
  Trophy Points: 280
  Tanzanian are clever! usipime! aibu tupu!!!!!!!!!!! anakuwa kama ndio anaanza jana!
   
Loading...