Wakristu wa madhehebu yote kufanya ibada siku mbili kabla ya uchaguzi

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,349
6,476
Nilisikia kwenye redio moja ya bongo kuwa wakristu wa madhehebu yote watafanya ibada ya pamoja kuombea amani uchaguzi mkuu siku mbili kabla ya 31 Oct. 2010. Sasa sijui na dini nyingine watafanya hivi?
 
Ni habari njema kwa wakristo kuombea uchaguzi na ndivyo dini yao inavyowafundisha kutaka amani na watu wote...........sijui dini zingine km hazitaishia kutoa waraka tu
 
Heshima kwako Mwanamayu,

Hakuna haja ya wakristo wote kuacha kufanya ibada J2.Catholic na Lutheran wakikubali kufanya ibada siku ya Jmosi na kwambia lazima tume ya uchaguzi isogeze mbele uchaguzi hata kwa miezi miwili mbele.
 
tuombeane amani bila kujali una imani gani au una amini nini
cha msingi TUMALIZE UCHAGUZI KWA AMANI NA UPENDO WA KWELI
 
Tunangoja waraka wa pamoja toka kwa viongozi wa dini unaoelekeza nani chaguo la mungu uchaguzi huu ili tumpe kura zetu !!!

Maana uchaguzi wa 2005 walituambia jk ndo chaguo la mungu!! Sasa labda maombi hayo yataandamana na kuteremka roho mtakatifu toka mbinguni atakae leta ujumbe toka kwa mungu kuhusu mgombea yupi ambae amechaguliwa mwaka huu huko mbinguni ili sisi wapiga kura siku hiyo ya uchaguzi tuende kutimiza tu wajibu lakini rais wetu yeye tayari ameshachaguliwa toka huko mbinguni!!!

Natanguliza salamu za upendo, amani na mshikamano!!!!
 
Ni ngumu sana kuwaombea mashetani (watawala, mafisadi) na maombia yako yakasikilizwa na Mungu.

Hapa labda wangefanya kama Kakobe tu. Hii tabia ya kuzunguka mbuyu haitaikomboa Tanzania.
 
Nadhani tusiwalalamikie wakristo kufanya ibada kwa ajili ya uchaguzi maadamu hawamwombei mtu bali uchaguzi. Mimi nafikiri wanaomba ili uchaguzi uende kwa amani. Hivyo ni wajibu wa dini zingine ikiwemo yakwangu kufanya ibada kwaajili ya kuombea uchaguzi pia.
Nawapongeza kwa hilo.
 
Tunangoja waraka wa pamoja toka kwa viongozi wa dini unaoelekeza nani chaguo la mungu uchaguzi huu ili tumpe kura zetu !!!

Maana uchaguzi wa 2005 walituambia jk ndo chaguo la mungu!! Sasa labda maombi hayo yataandamana na kuteremka roho mtakatifu toka mbinguni atakae leta ujumbe toka kwa mungu kuhusu mgombea yupi ambae amechaguliwa mwaka huu huko mbinguni ili sisi wapiga kura siku hiyo ya uchaguzi tuende kutimiza tu wajibu lakini rais wetu yeye tayari ameshachaguliwa toka huko mbinguni!!!

Natanguliza salamu za upendo, amani na mshikamano!!!!

Roho Mtakatifu tunaye siku zote!!
 
Pamoja na maombi ila tujue kuwa any attempt to rig votes should be like the ignition of a lighter in front of a million litres of petrol. The prayer should be directed to those vote rigging minds to forget so that they will be sick and develop amnesia for that option on election day.
 
Mithali: 29.2 Wenye haki wakiwa na amri,watu hufurahi;
Bali waovu atawalapo watu huugua.
 
Mkiendeleza ajenda zenu za kufanya kampeni ya chadema makanisani tutwachapa mabakora, wala msijaribu kuendeleza kampeni zenu za chadema,[B] You have been warned!!!![/B]
 
Back
Top Bottom