Naomba mawasiliano na watanzania wanaosoma masters nje ya nchi

kauzu

Member
Oct 4, 2010
74
3
Wana jf naomba mnisaidie kama naweza kupata mawasiliano na watu wanaosoma masters nje ya nchi ili niweze kujua michakato ya kusoma huko inakuwaje,kwani natamani kufanya masters ng'ambo,program ninazopenda ni bussines program kama bba,marketing au finance
 
sema nchi gani sasa u hv to specify
wengine tupo pakistani au wewe hujali hilo?
 
Wana jf naomba mnisaidie kama naweza kupata mawasiliano na watu wanaosoma masters nje ya nchi ili niweze kujua michakato ya kusoma huko inakuwaje,kwani natamani kufanya masters ng'ambo,program ninazopenda ni bussines program kama bba,marketing au finance
Nenda BestLife Africa utapata ushauri huko.
 
Wana jf naomba mnisaidie kama naweza kupata mawasiliano na watu wanaosoma masters nje ya nchi ili niweze kujua michakato ya kusoma huko inakuwaje,kwani natamani kufanya masters ng'ambo,program ninazopenda ni bussines program kama bba,marketing au finance

Hivi bba ni "masters"?
 
Mawasiliano au una jingine, au umetumwa? wasiliana na chuo moja kwa moja, usije ukang'ang'ania kwangu bure
 
If you are planning to pursue an MBA in the US, you have to start preparing to sit for GMAT. Most MBA programs in the US require the applicants to submit the GMAT scores upon processing the application for admission.
You also have to keep in mind that some of them may require you to submit TOEFL scores.
You can go to the website of any MBA program of your choice and get the necessary information.
I hope this tip helps.
 
Back
Top Bottom