vimbwanga vya bunge la kenya!

vimbwanga vya bunge la kenya!

Ningependa kufahamu maoni yako vilevile badala tu ya kuangalia hicho kideo
 
Ila si unaona democrasia yao ilivokua juu.. Yan wanatupiga bao
 
Duh!mambo yao,kama watoto kabisa wakati mwingine!!!
 
Duh!mambo yao,kama watoto kabisa wakati mwingine!!!
nimechoka kabisa,inaelekea hawapendi kabisa kuwepo humo ndani,basi tu wafanyeje maana mshiko wa mwisho ndo wanahitaji.
 
Back
Top Bottom