Meli ya China yenye huduma ya hospitali yatua bongo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Meli ya China yenye huduma ya hospitali yatua bongo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lucchese DeCavalcante, Oct 21, 2010.

 1. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145

  [​IMG]


  [​IMG]

  [​IMG]

   
 2. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Nina wasiwasi sana na hii meli, isije ikawa imeleta silaha mkaambiwa dawa, au pengine imekuja na vyote,
   
 3. Domhome

  Domhome JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2010
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 1,993
  Likes Received: 1,046
  Trophy Points: 280
  Nahisi lengo kuu la kuileta meli hii ni hili:

  Kwanza, Viongozi wa CCM na hata wale wateule wao ndani ya Serikali; IGP, AG, CDF pamoja na wengine wengi akiwamo EL, RA nk nk nk. wataitumia hiyo kama chombo chao cha kutorokea wakiwa salama kabisa.

  Pili, ni kutokana na kila mbinu yao chafu kushindikana wanaweza wakaitumia hii ili kung'ang'ania madarakani kwa nguvu wakitumia majeshi ya kigeni.

  All in all ni kuwa wa-tz tujitokeze kwa wingi kupiga KURA siku hiyo ili tuitoe madarakani Serikali ya Kifisadi ya CCM. Na, kwa wale watakaokuwa mbali na kituo nilichojiandikisha kama mimi bado tuna-fursa ya kupiga KURA ya RAIS tu siku hiyo. Twendeni tupange foleni ili tumchague Dr. wa Ukweli ili ang'oe mizizi ya UFISADI.
   
 4. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mh najua akuna kitu cha bure dunia hii lazima wanalao jambo tu akuna lolote
   
 5. s

  schulstrasse Senior Member

  #5
  Oct 21, 2010
  Joined: May 31, 2010
  Messages: 107
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nahisi wana madawa mapya wanataka kutestia Africa au wana stoku inayokaribia kuexpire, mchina akupi bure. Ila maybe ni kwa Good faith coz Mercyships wao huduma zao za kweli ila wachina I dought them
   
 6. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #6
  Oct 21, 2010
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Ukiwa nje ya kituo chako hupigi kura yoyote.
   
 7. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #7
  Oct 25, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Wachina nasikia kuna mgodi wamepewa wanachota dhahabu kama hawana akili nzuri
   
Loading...