Zing
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 1,767
- 470
Naanzisha mdahal/ mjadala
Je kuna mteule yeyote kwenye nafasi ya siasa(Rais,waziri,etc) na sifa za umanagerau wote tulionao wana sifa za uongozi/ u-leadership pekeee?
Waliopewa madaraka kwenye mashirika ya umma ( eg TANESCO,TTCL , etc) wanachguliwa kwa vigezo vya u leader au kwa vigezo vyao vya Manager.?
Je sio sahihi kuanza kuwapimahata wanasiasa kwa vigezo/sifa vya management badala ya Uongozi/ leadership?
Wapi viongozi wetu wanakwama au wanshindwa zaidi katika Managemnt na Leadership?
Tujadiliane kuhusu Leadership vs Management katika mazingira ya Tanzania
Ingawa sipendi mada hii mada iwe ya kisiasa nataka kujua JK tunaweza kumuweka kundi gani kati ya Leader au Manager