Sugu kuiteka mbeya leo hii.

Sugu kuiteka mbeya leo hii.

Jackbauer

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
6,067
Reaction score
2,229
Kuna taarifa kuwa polisi mbeya mjini imemruhusu mh j.mbilinyi(sugu) kufanya mkutano wa kuwashukuru wanambeya kwa kumpa ushindi.mkutano utafanyika viwanja vya sido.
Wanajf mbeya tunaomba updates.
 
Back
Top Bottom