HOFU KUBWA YATANDA ;AIRPORT DAR(jnia) KULIPULIWA?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

HOFU KUBWA YATANDA ;AIRPORT DAR(jnia) KULIPULIWA??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Dec 29, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Dec 29, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,456
  Likes Received: 5,704
  Trophy Points: 280
  Baada ya kulipua nairobi habari zaidi zinasema jamaa wametangaza nchi zinzofwatia ikiwemo tanzania......,katika hili uwanja wa ndege wa dar umeongezewa ulinzi wa ajabu ambao kwa wengine ni ker tunaomba pamoja na kuogopa kulipuliwa tuheshimu ustaarabu wetu..hasa pale geti la wanaoita kwa miguu kuna watu wanafanya kama wako geti la uwanja wa taifa toa uingie..tusingependa kusema sana lakini napongeza serikali kwa ulinzi wenu labda cha kusikitisha naomba tishio hili liwe kila siku ili muwe na akili ya kuwalinda watanzania..si ulinzi mpaka wabomolewe nairobi ama uganda..mtulinde kila siku .....
  Nawatakia mwamko mema wa kutulinda msirudi nyuma mpakawatakapokata tamaa
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Dec 29, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,456
  Likes Received: 5,704
  Trophy Points: 280
  huu ulinzi usiwe wa kuchakachua watanzania uwe wa kutulinda kwa nia na upendo
   
 3. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #3
  Dec 29, 2010
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Ulinzi wa hapo Mwalimu Nyerere Airport kwakweli si mzuri angalia watu wanavyokuwa akiingia ovyo hakuna hata utaratibu wa maana!
   
 4. M

  Mkwele JF-Expert Member

  #4
  Dec 29, 2010
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 206
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Naona wachangiaji hamna lkn ingekuwa suala ni udini kila mtu angeweka maneno yake.

  Endelea kutuhabarisha wanajamvi tusiopata nafasi ya kusoma magazeti.
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  Dec 29, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  we are lucky MS atatuhabarisha kabla ya mabomu kulipuka:whoo:
   
 6. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #6
  Dec 29, 2010
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,755
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Mbona hatujasikia ulinzi wa KIA kama umeongezwa?
   
 7. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #7
  Dec 29, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,456
  Likes Received: 5,704
  Trophy Points: 280
  Ulinzi wenyewe wa kuchakachua...majuzi jamaa amenisimamisha akaweka kioo chini ya gari aliponikaribia yaani ana unifiom ananuka pombe mbaya aifai unaweza ona kichekesho..kingine kuna kule termnal 1 wameweka geti wanasimamisha ikifika mchana liko wazi mpaka jion sasa sijui wanamfurahisha nani asbh ..bogus kabisa ..jana naona wameleta mbwa sijui anawalinda na leo kuna mtutu unasimamishwa na mwenye mtutu
   
 8. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #8
  Dec 29, 2010
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Bado ulinzi wetu ni mbovu sana. Tunahitaji seriousness zaidi. Mimi huwa nasafiri sana na Precission Air ila kwa kweli kuna loopholes kibao tu.
   
 9. papason

  papason JF-Expert Member

  #9
  Dec 29, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 2,317
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  Ze comedy
   
 10. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #10
  Dec 29, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,456
  Likes Received: 5,704
  Trophy Points: 280

  njoo uone ffu ndio wanatulinda na mbwa wao
   
 11. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #11
  Dec 29, 2010
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Wewe ulishaona Watanzania wana jali ulinzi zaidi ya kujua kuzuia maandamano ya maendeleo?
   
 12. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #12
  Dec 29, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,456
  Likes Received: 5,704
  Trophy Points: 280

  kaama umezoea kuita vidosho vyako ovyo uwanjan awaingii kama walivyokuwa wkaiinngia..mpaka ukaonekane getini kazi ipo waee wa kuchakachua...awa jaamaa wanatesa watu sana
   
 13. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #13
  Dec 29, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,456
  Likes Received: 5,704
  Trophy Points: 280
  Mungu tu atulinde kwenye ...tunavaa k...sasa huku airport tukisafiri sijui watatuvalisha nini??
   
 14. Afrika Furaha

  Afrika Furaha JF-Expert Member

  #14
  Dec 29, 2010
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hamna lolote, mbinu zenyewe za ukaguzi wanazotumia ni za kisumbufu zaidi kuliko kuwa za kiusalama. Wanatumia mbinu za kale za ukaguzi, kama vile mlipuaji atakuja na bomu mkononi.
   
 15. n

  nyantella JF-Expert Member

  #15
  Dec 29, 2010
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 890
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45

  Kwani mnayaficha wapi?
   
Loading...