Naomba kujua tafadhali!

vicenttemu

Member
Nov 16, 2010
43
0
Hello people! Naomba mnijuze, kuna umuhimu gani wa kubadili rangi ya noti ili hali thamani inabaki pale pale? Ina maana jitihada zetu za kuinua uchumi ni rangi ktk noti zetu. Wachumi naombeni ufafanuzi kwani noti zilizopo sijasikia hata siku moja zikilaumiwa kuwa ziko chini ya kiwango! Nawasilisha mda
 
ndugu nikweli kuchapicsha noti mpya inasaidia kupunguza mfumuko wa bei lakini inaweza kuwa wamechapisha hizo noti ili kupata kazi ya kupatia sababu ya kutafuna fedha (kodi) zetu, pili ni njia ya kukusanya pesa ambazo watu wamezifungia ndani mwao!
 
Kama ukipata nafasi pitia taarifa ya Gavana wa Bank Kuu siku alipokuwa
anatangaza kuwepo kwa Noti Mpya, alitoa sababu ni kwa nini Noti inabadilishwa.
Lakini pia kubadilika kwa Rangi inaweza kuhamasisha watu kutamani kuzipata, na ili
uzipate ni lazima ufanye kazi halali .
Kazi halali + Noti Mpya(rangi) = Bidhaa nyingi na Huduma bora = Maisha kuwa Bora = Uchumi kuinuka.
 
Back
Top Bottom