Kivipi ielezwe utabiri ndio ushirikina? Si kweli. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kivipi ielezwe utabiri ndio ushirikina? Si kweli.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Maalim Jumar, Dec 28, 2010.

 1. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2010
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Nimekua nikifuatilia mijadala mingi huko na humu JF. Kuhusu ushirikina...ukihusishwa na wataalam wa jadi..hata utabiri. Vizuri kufaham maana halisi ya ushirikina...kisha ifuatie kuleta uzushi sasa! Kuliko kueleza jambo huna ujuzi nalo. Inatia aibu..
  Tulijadili hili.
   
 2. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #2
  Dec 28, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Unaweza kutufafanulia, umekusudia nini!?
   
 3. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #3
  Dec 29, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  hapa nahitaji darubuni ili niweze kuielewa hii post.
   
 4. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #4
  Dec 29, 2010
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  X-Paster !
  Nlilokusudia ndio nilolianzisha!
  Bro Gama! Hilo halihitaji darubini kabisa. Labda ungeuliza palipo kutatiza.
   
Loading...