Maji makongo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maji makongo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by NATA, Dec 28, 2010.

 1. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,517
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Ajabu karibu mwaka na nusu watu wamakongo juu wamewekewa mabomba kwa mradi wa wachina.

  Lakini cha ajabu maji hayajawahi toka hata siku moja na mabomba yashaanza kuibwa na yamepata kutu..

  Hivi hii inasababishwa na nini?

  Na hawa wachina ndiyo yale mambo yao ya hakuna lisilo wezekana?

  Naomba kama kunamtu anafahamu sababu zilizo sitisha huu mradi anijuze please!
   
 2. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #2
  Dec 28, 2010
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 9,854
  Likes Received: 3,125
  Trophy Points: 280
  Ilikua njia ya kujikusanyia kura...na mlipiga! subirini 2014 watafufua mradi!
   
 3. Digna37

  Digna37 JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2010
  Joined: May 17, 2010
  Messages: 817
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Poleni. Sifahamu sababu but kwetu maji ya Wachina toka yafungwe yakikatika ni kwa sababu maalum na ni nadra sana kutokea. Maji masaa 24 bila taabu. Nimeipenda huduma yao sana.
   
 4. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #4
  Dec 28, 2010
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 15,598
  Likes Received: 2,832
  Trophy Points: 280
  Chimbeni visima vyenu....mambo ya kusubiria selikari iwaletee maji ngojeni hadi karibu na uchaguzi
   
 5. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #5
  Dec 28, 2010
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,513
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nilistuka maana mimi nakaa makongo ya nchini CHanganyikeni nikafikiri suluhisho la maji kwisha!
   
 6. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #6
  Dec 28, 2010
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 9,866
  Likes Received: 2,076
  Trophy Points: 280
  Hivi Changanyikeni ishakuwa nchi?
   
 7. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #7
  Dec 28, 2010
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,513
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Makongo chini au CHANGANYIKENI?
   
 8. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #8
  Dec 29, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,517
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135

  Au wamesitisha baada ya mdee kuchukua jimbo?
   
 9. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #9
  Dec 29, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,517
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Nyie mbunge wenu nani?
   
 10. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #10
  Dec 29, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,517
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hatujakataa maji ya visima tunayatumia but kwanini waharibu pesa kwa kuweka mabomba na kuacha yapate kutu na kuibiwa?

  huu ni ufujaji wa mali,
  kama hawakuwa tayari wangeacha tu na hizo pesa walizotumia kununua hayo mabomba wangeongezea kwenye huduma zingine kama hospital nk.
   
 11. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #11
  Dec 29, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,517
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Nadhani ni nchi maana imetengwa na huduma ya maji
   
Loading...