TBC hali sio shwari

TBC hali sio shwari

Mgogoro gani? Fafanua. Maana mpaka sasa hakuna ulichotujuza. Na tutachangia nini? Hoja ipo wapi hapo Mzee wa Hoja?
 
Hiyo ni tetesi au ndiyo umeshamaliza. Post yako ni kama una madata unataka kutujuza kumbe hamna kitu. Mgogoro unaweza kuwepo kwa maana hii, ule mkataba kati ya Star times na TBC1 hatujui umekaaje na kwa vile unaonekana kufanikiwa sasa mdudu anaweza kujiingiza hususani Tido Mhando kama ataonekana kutoridhika kimaslahi hususani kwa jinsi walivyomtimua kama nionavyo mimi.
 
Mbona hawa starcom wanataka wawe richmond nini? Au ni rostam huyo?
 
Ina maana mgogoro kati ya TBC na Star times unatokea baada ya Tido kuondoka au ulikuwepo toka mwanzo?
 
bongo kwa tetesi ndio zetu banaa, habari nusu nusu
 
Back
Top Bottom