FOLENI zapungua Dar- 'year end'

FOLENI zapungua Dar- 'year end'

Mpevu

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Posts
1,803
Reaction score
179
Habari,
Hivi ni experience yangu tu ama ni wote?
Maana nimegundua kwa siku tano sasa roads za Dar zimepungua foleni, sijua wakazi wa mji huu wamepungua ama ni aje wadau!
Tujuzane KULIKONI!!!
 
Habari,
Hivi ni experience yangu tu ama ni wote?
Maana nimegundua kwa siku tano sasa roads za Dar zimepungua foleni, sijua wakazi wa mji huu wamepungua ama ni aje wadau!
Tujuzane KULIKONI!!!

ni kawaida kila mwaka hapa nipo Tanga kwa bibi kogwa napata moja moto moja baridi ikifika tarehe kama 5 tunarudi wote kubanana

umezaliwa mwaka Huu?? sorry nataka kujua
 
King of Kings,
si unajua sisi walowezi? Kwetu ni Tanganyika kuleee karibu ya mwisho wa reli ndo maana tunastaajabu KULIKONI hapa mjini kweupeeee?/
 
wenye magari ndio wageni, wenyeji wanatumia lapa na baskeli...
 
Mi nipo iringa kilolo nakula swala wa udzungwa tar 7/01/2011 nakuja kuongeza foleni.
 
Back
Top Bottom