Nimekosea nini TENA MODS!??

LoyalTzCitizen

JF-Expert Member
Sep 15, 2010
2,234
883
Kama nimewakweza kwa kutuma thread mpya na hamkuipenda mamods mtanisamehe! ila nataka kujua kitu gani nimefanya wrong kutetea JF ktk kitu nilichoona very unethical! naomba sababu ya kuifuta thread yangu ambayo sikuona kama ina matataizo yoyote ktk kufunza jamii! na pia ningependa kutoa hoja kama mkiona thread haina au haifai hapa jamvini basi ingekuwa ni busara sana kuwajulisha waliotuma ili waelewe sababu ya threads zao kufutwa! hiyo ni busara sana!

Pia inasaidia kijifunza! next time mtu awe makini zaidi na atume sensible stuff accordingly! Lakini kwa mtazamo wangu kuzidelete threads bila taarifa haisaidii kwa sisi wafuasi wa JF! Guys kama ikiwezekana just use PMs! kama sisi wastaarabu tataelewa ila kuzifuta tu inaonyesha dharau na sio wote tunapenda tabia hii!Tunapenda JF basi tuonyeshane ustaarabu na tuelimishane! Thank you! NOT HAPPY CITIZEN, ONLY FOR TONIGHT AND GOOD NIGHT! nimechukia!
 
Pole sana! Kuna MODs wako kwenye majaribio hao ndo hufanya maloloso bila kueleza sababu
 
Pole sana! Kuna MODs wako kwenye majaribio hao ndo hufanya maloloso bila kueleza sababu[/Q

Inaaanza kunikera Rev! na sioni kama naaribu JF! i luv this thing! i am glad sijafungiwa ila kama kuna problem ni lazima isemwe! Communications ndio ngao za kila kitu!
 
JF ukitaka Thread yako idumu sifia CCM na ile dini ya CUF! Kinyume cha hapo jamaa bila aibu watafuta tundiko lako
 
mkuu mm sio mods ila ile thread yako iliingia sana kwenye life la mtu... na inaonyesha kama ilikaa kibaguzi manake yule dada ameolewa na mzungu sasa inaonekana kama unambagua mme wake
 
Mkuu niliileta for the sake ya MM na JF sasa nimehusika na nini huko!????? na sikumbagua mtu! i thought i was a thinker man!!!! ok different perceptions! lol!
 
Ile thread inayohusu U-turn? mwachie founder mwenyewe anajua avyodili na yule ngedere.
 
Kama nimewakweza kwa kutuma thread mpya na hamkuipenda mamods mtanisamehe! ila nataka kujua kitu gani nimefanya wrong kutetea JF ktk kitu nilichoona very unethical! naomba sababu ya kuifuta thread yangu ambayo sikuona kama ina matataizo yoyote ktk kufunza jamii! na pia ningependa kutoa hoja kama mkiona thread haina au haifai hapa jamvini basi ingekuwa ni busara sana kuwajulisha waliotuma ili waelewe sababu ya threads zao kufutwa! hiyo ni busara sana!

Pia inasaidia kijifunza! next time mtu awe makini zaidi na atume sensible stuff accordingly! Lakini kwa mtazamo wangu kuzidelete threads bila taarifa haisaidii kwa sisi wafuasi wa JF! Guys kama ikiwezekana just use PMs! kama sisi wastaarabu tataelewa ila kuzifuta tu inaonyesha dharau na sio wote tunapenda tabia hii!Tunapenda JF basi tuonyeshane ustaarabu na tuelimishane! Thank you! NOT HAPPY CITIZEN, ONLY FOR TONIGHT AND GOOD NIGHT! nimechukia!

icon3.png
Paja la aunt ezekiel..

attachment.php

ujajua tatizo??pole sana welcome to NEW JF::
Umeitaman badala ya kuipenda

Back
Top Bottom