Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimekuwa nikipigwa butwaa kuona nyaraka zenye mambo binafsi ya waajiriwa katika maofisi mbalimbali zikitumika kufungia maandazi au kutengenezea bahasha za kubebea bidhaa mbalimbali. Katika tukio...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nipo natazama kipindi cha Zamadamu, kinachorushwa na TBC1 wametembelea makumbusho mjini Arusha, kilichonishangaza ni huyu muhusika wa makumbusho anavyotoa maelezo ya uongo, kuna huyu mnyama...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Linaweza kuonekana kuwa swali dogo lakini ni muhimu kila mtu ajiulize kwa nini tuliumbwa ili tufe?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
WADAU niko katikati ya nchi najaribu kufuatilia mjadala wa watunga sheria katika mjengo wao. Wote mashuhuda namna juzi walivyomshikisha adabu Dk. Magufuli ambaye anatamba kuwa ni mtoto wa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mwili wa Mtanzania Caroline Tom Mmari ambaye aliripotiwa kupotea May 20.2010,na kupatikana akiwa amekufa huku mwili wake ukiwa umefichwa/zikwa nyuma ya nyumba aliyokuwa akiishi Jijini Los...
0 Reactions
52 Replies
7K Views
Kwa mara nyingine tena, kile kinachoelezwa kama 'wananchi wenye hasira, kimefanya kazi yake tena baada ya kumchoma moto wa tairi kijana aliyedhaniwa kuwa kibaka. Jamaa anaonekana kijana mmoja...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Jana nimesoma makala ya Lula wa Ndali-Mwananzela kwenye gazeti la Rai Mwema kwa masikitiko makubwa. Fedha zinazotajwa kuwa zimetumika kulipa faini kwa uvunjifu wa mikataba usiokuwa makini ni...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
WATU wawili, akiwemo na mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu, wakazi wa vijiji vya Nakiu na Njenga Wilaya ya Kilwa mkoani Lindi, wamefariki dunia baada ya kushambuliwa na nyani pamoja na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Maeneo ya Upanga, Sea View, Karibu na BP filling station kulikuwa na hoteli moja mashuhuri sana ikiitwa Ettiennes Hotel, ilivuma sana miaka ya 1970 na 1980. Moja ya sifa zake ni historia nzuri...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Yai na kuku kipi kilianza? Mjadala wa miaka mingi kuhusiana na kipi kilitokea mwanzo kuku au yai? umepata jibu baada ya wanasayansi kuthibitisha kuwa kuku ndiye aliyekuwepo awali kabla ya...
0 Reactions
7 Replies
46K Views
Nyumbani kwa Waziri Celina kombani yalitokea mauaji ya kutatanisha mwaka huu. Polisi waliunda tume ya kuchunguza mauaji hayo. Hadi leo kimya kikuu kimetawala. Je ni kwamba kombe limefunikwa ili...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
By BILHAM KIMATI, 13th July 2010 @ 16:00, Total Comments: 0, Hits: 5 A PROBE team formed last month by the Dar es Salaam Regional Commissioner, Mr William Lukuvi, has discovered that 104 open...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
There’s a new scam on Facebook promising to show you a video revealing the “truth” about Coca-Cola, but all it’s really after is your personal info. The message reads: “I am part of the 98.0%...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Je ni kweli kuwa mkurugenzi wa lpp media ameshindwa kuliendesha gazeti lake la kila siku jioni ambalo lilikuwa likipendwa sana na wasafiri wa daladala ambao walikuwa wakilitumia gazeti hilo kama...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nduku sanguni lidhe jambasi bado linatesa!!! Hii habari ni ya gaseti la mwananji JESHI la PoIisi mkoani Arusha linamshikilia mfanyabiashara maarufu wa madini mkoani hapa, Justin Nyari kwa...
0 Reactions
26 Replies
9K Views
Mitambo yangu inaniambia kuwa hapa JF kuna vidudu vya upelelezi na ukitumia spyterminator utaona ,mambo mambo na harakati ,sasa sijui kama imeshanunuliwa na usalama wa Taifa na kuanza kutumika...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Huu ndio ukweli:embarrassed1: Nyerere Msingi aloujenga Tanzania haufai, Tuubomoe. Ujamaa ulishindwa, kwani CCM alioanzisha Nyerere sasa imezeeka...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Sio kama nasifia.. ila nimefurahishwa na ziara yake ya kimyakimya bongo. Baada ya show kali na kucheki vuvuzelaz South Africa, akenda kuona maendeleo ya kampeni zake huko kwetu Uyui-Mbola...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa wale ambao wangetaka kufuata nyayo za China (bila uelewa wa Mao wala wa Deng Tsiao Ping) huku wakiogopa migomo ya Wafanyakazi kuliko wanavyoogopa ukimwi... By Don Durfee – 15 July 2010...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani naomba kuwasalimie wote kwenye jukwaa hili la siasa. Kwa vile bado nipo porini, nitawasiliana nanyi baadaye ili niwape vizuri habari za huku porini Mzeewapori
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…