Sumbalawinyo
JF-Expert Member
- Sep 22, 2009
- 1,282
- 250
Je ni kweli kuwa mkurugenzi wa lpp media ameshindwa kuliendesha gazeti lake la kila siku jioni ambalo lilikuwa likipendwa sana na wasafiri wa daladala ambao walikuwa wakilitumia gazeti hilo kama dawa ya kujisahaulisha makali ya msururu wa magari muda wa kurudi nyumbani?