huu ndio ukweli tuamke | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

huu ndio ukweli tuamke

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by rimbocho, Jul 14, 2010.

 1. r

  rimbocho Member

  #1
  Jul 14, 2010
  Joined: Jan 11, 2010
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [SIZE=+7][FONT=Times New Roman, Times, serif][FONT=Times New Roman, Times, serif]Huu ndio ukweli:embarrassed1:[/FONT][/FONT][/SIZE][FONT=Times New Roman, Times, serif]
  [​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG]
  [/FONT]
  [FONT=Times New Roman, Times, serif]Nyerere Msingi aloujenga Tanzania haufai, Tuubomoe[/FONT].
  Ujamaa ulishindwa, kwani CCM alioanzisha Nyerere sasa imezeeka. Sera zake zimeiharibu nchi yetu Tanzania. Tunataka mapinduzi tuitoe CCM madarakani ili tusinyanyaswe tena. Tumeonewa vya kutosha. sasa basi. CCM hatuitaki, imetufika shingoni. Tutaitapika.Mungu bariki Watanzania, wape hekima ya kutosha kuiweka CCM kapuni. Chukua usukani sasa kuiongoza Tanzania kwani kwa kipindi kirefu nchi yetu iliwekwa wakfu kwa shetani mpinzani wako. Tunamkataa shetani na CCM chama anachotumia kuwatesa watanzania, na tunaiweka nchi yetu mikononi mwako. Tumeomba machache hayo katika jina la Yesu Mwokozi wetu. Amen
   
 2. T

  Tata JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2010
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,731
  Likes Received: 647
  Trophy Points: 280
  Sasa hapa kwa mtazamo wako tatizo hasa la umaskini wa watanzania ni nini hasa? Ni Nyerere? ni ujamaa? ni CCM iliyozeeka na sera zake? au shetani? Na je kuiondoa tu CCM madarakani kutaondoa umaskini Tanzania?
   
Loading...