kulikoni Ettiennes Hotel?

kulikoni Ettiennes Hotel?

Ngambo Ngali

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2009
Posts
3,517
Reaction score
1,367
Maeneo ya Upanga, Sea View, Karibu na BP filling station kulikuwa na hoteli moja mashuhuri sana ikiitwa Ettiennes Hotel, ilivuma sana miaka ya 1970 na 1980.

Moja ya sifa zake ni historia nzuri sana katika ukombozi Kusini mwa Afrika.

Sasa hivi inaelekea kuwa ngofu na kwa jinsi Watanzania tulivyo" shake well before use" inaweza kupigwa nyundo na kupoteza historia yake.

Kitu gani kinaendelea hadi jengo hilo sasa kuwa gofu? Mwenye data atujuze.
 
Hivi BWM hajaipiga BEI? Maana ipo karibu sana na Makazi yake!
 
Maeneo ya Upanga, Sea View, Karibu na BP filling station kulikuwa na hoteli moja mashuhuri sana ikiitwa Ettiennes Hotel, ilivuma sana miaka ya 1970 na 1980.

Kitu gani kinaendelea hadi jengo hilo sasa kuwa gofu? Mwenye data atujuze.

Naona imenunuliwa na huyu jamaa hapa Chini...:A S tongue:

Teamo

JF Premium Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Location: ZERO_PUB/ETIEENS/WHY NOT PUB/OCEANIC HOTEL
 
Back
Top Bottom